Kuna Watu wanasema serikali haijafanya kitu, wakati hao hao Watu walikuwapo ccm nusu ya unto wa, walitakiwa waseme Sisi pia tulichangia serikali ya chama cha mapinduzi kufikia hapa "
 
..Kuna mtu ameshuka kwenye kiwanja cha ndege Kizuri cha Bukoba, kisha akapokelewa kwa lami hadi uwanjani alipofika jukwaani eti serikali haijafanya kitu yani kiwanja cha ndege na barabara za lami hakuziona, tuwapuuze''.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…