exiled baby
Member
- Sep 2, 2016
- 60
- 43
Teh!teh!tehee[emoji2] [emoji38]Nikisema serikali ya viwanda ya viwanda kweli kweli
Huku kapindisha kichwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh!teh!tehee[emoji2] [emoji38]Nikisema serikali ya viwanda ya viwanda kweli kweli
Huku kapindisha kichwa
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kuna mtu nimeambiwa hapa Zanzibar anazuia watu kutumia kisima,huyo dawa yake mnamtumbukiza kisimani akitoka atakuwa ametosheka maji.
In order what??????!!!!!!!!.Ujajua kinachotakiwa kuzimwa?.Na kinachotakiwa kuwashwa.!?.Ntumie sanduku la posta.Nkutumie kwabarua.''Natamani malaika washuke kuzima mitandao ya kijamii''
Lol!....hizi ni nukuu (quotes) mbaya kabisa ndani ya siku 427, sawa na mwaka 1 na siku 62 pekee mara baada ya kuapishwa kuwa Rais hapo tarehe 5/11/2015!!
Sina hakika akimaliza siku 1,825 sawa na miaka mitano atakuwa amemwaga upupu wa kiwango gani tu hata kuweza kutunzwa kwa kumbukumbu za baadaye ili vitukuu vyake vije kuona jinsi babu yao alivyokuwa anafyatuka hovyo....
Kwangu mimi, watoto wangu na watoto wa watoto wangu hawana lolote lililo bora la kujifunza na kuliweka ktk library zao za kichwani na zile za mbao toka kwa huyu jamaa, zaidi kuwa, nitawafundisha kwamba huyu ni miongoni mwa marais wa hovyo kabisa kuwahi kutokea kuongoza taifa hili.....
Mie nilibipu tu,sim ikapokelewa''Natamani malaika washuke kuzima mitandao ya kijamii''
Mnataka nufanyejeee,NITUMBUEEEEWNikisema serikali ya viwanda ya viwanda kweli kweli
Huku kapindisha kichwa
Mayalla oyeeeeHaha" Pascal Mayalla kwa kisukuma ni njaa hivyo inawezekana ulizaliwa wakati wa njaa"
Mzee Kikwete ameiachia kila kitu hewa"kuna watu wana husda sna....hta kma unaogelea baharini watakwambia unawatimulia vumbi"
Serikali hii ni TajiriSerikali haina shamba! Kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe!
Hatutak watalii maskiniZinavunjika ndoa kuliko mikataba
Na bado hela zitapotea hata kanisani"watu watalimia meno..."
na kwa vile ninyi mmesema sina budi kutumbuaMnataka nufanyejeee,NITUMBUEEEEW
Kigamboni Hiyo
Hii nchi TAJIRINaomba mniamini nina nia ya dhati sitawaangusha
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]