The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,541
Umenena kweli na kwa uchungu mkubwa lakini nenda taratibu mzee,usijenaswa kwa ku post maudhui yenye maudhi kwa mfalme.Hivi humu hamna wazee wa miwani myeusi(nyoka) wasije wakakutia nguvuni kisha zako korodani(kokwa) wakazibondabonda kwa mawe.sio watu wazuri wale.
Aaah, sasa hao wenye miwani myeusi watanilizimisha nimpende nisiyempenda?
Kumbuka alipata kura takribani 8m na ushee na zilizomktaa ni zaidi ya 7m na ushee za UKAWA + za wale wengine kama ACT, CHAUMA na wengine.....
Ktk mazingira haya, kufikiri kuwa watu wote watakupigia makofi na kukuimbia mapambio tu kila wakati na kila mahali ni uwendawazimu.....