Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂😂 Hata kabla sijafungua hii thread nilijua hii sentensi lazma itajitokeza ukurasa wa kwanza kbsa"nireteeni gwajima, nireteeni gwajima, nireteeni gwajima"
Miezi kama miwili iliyopita ndio ilizuka sana hiyo kumbe copyright ya MAGU ,kweli aliitumia sana." Au nasema uongo ndugu zangu??"
Mimi ni Rais jiwePoleni Sana Wana Jamvi kwa msiba mzito wa Rais wetu, Hayati John Pombe Magufuli.
Mwenyezi Mungu aipumzishe Roho yake mahali Pema peponi.
Nilipita mitandao mbali mbali ya kijamii na kuona watu wanapost clips mbali mbali na ikanikumbusha kauli zake nyingi ambazo alizitoa katika kutetea wanyonge.
1. "Nime-sacrifice maisha yangu kwa ajili ya wa-Tanzania wanyonge".
2."Msema kweli ni Mpenzi wa Mungu".
3. "Tanzania ni Tajiri na sio masikini".
4. "Wa-Tanzania mtanikumbuka si kwa Mabaya,Mtanikumbuka kwa mazuri"
Je, Kauli ipi unaikumbuka zaidii....Ongezea 👇
Then kukawa na ajira? Au unafuu wa maisha?"Kipindi Cha Nyuma Tajiri angekufanya chochote, Hapa Kwangu mimi Tajiri atafanywa chochote"
Na Kweli Matajiri wote walisimama mstari mmoja....Tuache utani huyu Jamaa alikua mwamba sio mchezo..