guwe_la_manga
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 2,820
- 2,758
magu bwana,dah!
ahahaha
ahahaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa maelezo yakoSugu nisugue![emoji1782][emoji1782][emoji1782]
Niliisikia hiyo, huamini kuwa anaeyatamka ni rais wa JMT.Kejeli ya mwisho ilikuwa "rudi na pupu yako nyumbani" R.I.P mzee baba.
Ndugu zangu wamekufa kwa Corona.Dada yangu bonge alikufa kwa Corona,Mungu mlaze mahali pema peponi.Mimi najikinga sana.Natii sana masharti ya WHO ndiyo maana nipo hai hadi leo.Kwa maelezo yako
Chanjo hujachanjwa
Nyungu hujapiga
Hujajifungia unaenda kazini kila siku
Mbona hujafa na corona sasa??
Tafuta speech yake ya Kilosa kwenye ziara ya handakiHahaha hii ilikua lini? Natamani nione clip yake
Nawaza kwa mdomo tu kwamba kama Marehemu angeibuka muda huu nafikiri kwa kwanza agekuwa Spika kuikana kabisa kauli yake ya jana kuhusu Bandari ya Bagamoyo.dead man tell no tales.
Ni kweli angakana maana huyu mtu haaminiki hata chembe.😡Nawaza kwa mdomo tu kwamba kama Marehemu angeibuka muda huu nafikiri kwa kwanza agekuwa Spika kuikana kabisa kauli yake ya jana kuhusu Bandari ya Bagamoyo.
Mwendazake bana, mbona zimepotea Bil 29 ?Shukrani Rais Magufuli kwa muda wako uliokuwa nasi.
Hakika asiyekubali kuwa ulikuwa chaguo la Mungu ni wazi hatokuwa amejifunza kitu. Kwa jinsi Mungu anavyoipenda Tanzania akakuleta wewe, ili kupitia wewe tutambue umuhimu wa kuwa na nchi yenye taasisi imara. Alikuinua katika kipindi ambacho sote hatukuwa tukitarajia kama utakuwa Rais.
Alivyoona tunaelekea kukuongezea muda akatambua ya kuwa hilo halikuwa kusudio lake. Mungu anayetupenda hakutaka tuendelee kuishi "vile". Ni imani yake yake kuwa ametusaidia kujifunza na kuifanya Tanzania kutengeneza taasisi imara na hatimaye kuwa amekamilisha hitaji lake la kuwapa maisha ya asali waja wake.
View attachment 1747106