Nukuu toka kwa Rais Magufuli (QUOTES)
"Ndio maana nakupenda sana mh mpina,wew ni kichaa kama mimi"
ila jiwe🙌🙌
 
Iandike kauli unayoikumbuka kutoka kwa hayati JPM
20211204_222103.jpg
 
1. Gharama ya uzalendo ni kifo, hivyo tuombeane ndugu zangu!

2. Nikifa mtanikumbuka kwa mazuri, sio mabaya.

3. Natamani niendelee kuwepo ili nishuhudie hii miradi ikikamilika. Sina uhakika kama atakayefuatia ataendelea nayo.

4. Ukiona adui yako anakusifia jua hakuna unachofanya, ila ukiona adui yako anakutukana ujue uko kwenye njia sahihi.
 
Back
Top Bottom