Nukuu toka kwa Rais Magufuli (QUOTES)
1. Gharama ya uzalendo ni kifo, hivyo tuombeane ndugu zangu!

2. Nikifa mtanikumbuka kwa mazuri, sio mabaya.

3. Natamani niendelee kuwepo ili nishuhudie hii miradi ikikamilika. Sina uhakika kama atakayefuatia ataendelea nayo.

4. Ukiona adui yako anakusifia jua hakuna unachofanya, ila ukiona adui yako anakutukana ujue uko kwenye njia sahihi.
Hiyo ni Jiwe au au nani?
 
Wasaliti, unajuwa tunawafanya nini jeshini!
Kwani kusini kuna wabunge wangapi?
Tawapiga nitaanza na shangazi zao!
 
Report hii ingekuja kabla ya 17 march 2021 ingekuwa sawa hii ni november mama kaenda kupitisha bakuri lake mataifa ya nje anakuja mjinga mmoja kama wewe na kupost upuuzi kama huu ili tuu ubalance kile unachopenda kusikia shame on you.
Haswaaa. Yaani tangu huyu mwanamke akamate usukani maisha imekuwa mbofu kabisa
 
Mambo mengine siyo ya kukumbushana jamani hebu tuendelee na kazi zingine
 
Ukiachana na I wish kua igp ni mkwara kwa wafanyabiashara wa mafuta juu ya efd
 
Sijawahi kushuhusia Rais aliyenikosha moyoni wangu kama hayati DR Magufuli pumzika salama mwamba kutoka Kanda ya ziwa.
 
Tembeeni kifua mbele. Ninyi si maskini, bali mliaminishwa kuwa ninyi ni maskini na watu wa ovyo ili waendelee kuwakalia kichwani.
 
Back
Top Bottom