Wananchi:Mzee nasi huku kijijini twatamani lami kama chato mjini.Tunaomba utuletee.
Yohana:subirini hadi tutakapo kaa na kulijadili na serikali ili itutengee bajeti..
wananchi(wakionekana kutoridhishwa na jibu la Yohana ) nasisi tunataka lami.Manvua(badala ya mvua) yakishuka tunatesekaga(kwa lafudhi ya kisukuma)
Yohana(sasa dhahiri amekasirika.Pumzi zinashindana)Kama mnaitaka sana lami kunyeni mavi mkapake barabarani.
wanachi wananyongea kwani waligwaya nabadiliko ya mwonekano wa USO...uliogofya.
wanawake wakamwomba maji ,akawajibu(akiwa kafura kwa hasira) kojoeni mikojo jazeni mapipa....