Nukuu toka kwa Rais Magufuli (QUOTES)
Nimesema hajitambui badala ya kutumia lile neno baya alilotumia dhidi ya baadhi ya mawazori kwa kuzembea kuchukua hatua. Ni waziri gani asiyemjua Rais na utendaji wake usiotabirika na udhalilishaji dhidi ya wayeule wake?

Naanza na waziri Mwakyembe. Huyu alitoa tamko dhidi ya wasio na vyeti vya ndoa, na akawa mstari wa mbele kusimamia hilo pamoja na kutoa muda maalum wa utekelezaji (mtanisahihisha kama ni vyeti vya ndoa au kuzaliwa). Tulichoshuhudia ni Rais kutengua mamlaka ya waziri wake. Unadhani ni ujumbe gani ulipelekwa kwa wateule wake?

Ishu ya Nape nayo inachanganya. Nape aliporwa uwaziri kisa aliunda tume ya kuchunguza tukio la uvamizi wa kituo cha clouds tv. Kosa la Nape ni lipi? Kwani hakuchukua maamuzi ambayo yalitenguliwa na Rais?

Ishu ya juzi Tanga kusema kuna mawaziri WAPUMBAVU wasiochukua maamuzi kwa wakati. Mwisho tunamuona waziri wa viwanda akiingia kwenye sintofaham na kubakia kuweweseka dhidi ya matamko ya Rais.

Akiwa Morogoro Rais alisimama kusalimiana na wananchi. Ndani ya hotuba yake fupi akagusia viwanda vilivyobinafsishwa na waliopewa, mmoja wapo akiwa ni mbunge wa Moro. Akamtaja na kumpa onyo mbele ya watu wa jimbo lake, kwamba atamnyang'anya hivyo viwanda kisa kashindwa kuendeleza.

Watu wanataka waziri/mawaziri wafanye nini au kuchukua hatua zipi wakati Rais ndiye mwenye kauli ya mwisho? Tena kauli za hadhara na za kufedhehesha. Rais aliwapa mamlaka mawaziri. Sasa asiwape msongo wa mawazo kushindwa kujua ni hatua zipi wachukue ns zipi waache. Asipende tu kuona yale anayotaka yeye yatekelezwe au yaachwe kisa tu ana maslahi nayo.
 
Hapa inaonyesha hujitambui sana. Rudi uangalie unao watetea kila siku. Pengine unalipwa.
IMG-20160826-WA0005.jpg
13891892_899088143550673_8969728429604604396_n.jpg
13445642_1246878805324607_230643040285053931_n.jpg
13233029_1590768097881921_7440964151336377693_n.jpg
 
Kuna watu Ben alikuwa sahihi kuwaita malofa, ni pamoja na mleta mada

''Aut Vincere Aut Mori''
 
Zinahitajika njia zote kuhakikisha mlaji wa mwisho ( Mwananchi) anapata huduma bora ( maendeleo ya viwango na kwa wakati)
 
Uzi huu ni spesho kwa kuweka nukuu za mh rais magufuli
(1)twafaaaaa
(2)katerero
(3)nitawafanya matajiri waishi kama mashetani
(4)makonda piga kazi
(5) fomu nilichukua mwenyewe sipangiwi na mtu
(6)msaliti anayewasaliti wanajeshi wenzake wakiwa vitani hatakiwi kuishi
(7)mpaka ifikapo mwaka 2020 kutakuwa hakuna upinzani tanzania
(8)upinzani ni kama nyoka tumemponda nyoka kichwa
(9)
(10)jazia nukuu nyingine
 
Mkuu, hizo nilizobold ziweke kwenye context yake.Neno moja kwenye context si nukuu halali!
 
Mimi nasubiri nakuu ya leo kwenye hotuba yake ya arusha maana hizo zingine za kufyatua watoto au kulala mbele na mafisadi zina ukakasi
 
Uzi huu ni spesho kwa kuweka nukuu za mh rais magufuli
(1)twafaaaaa
(2)katerero
(3)nitawafanya matajiri waishi kama mashetani
(4)makonda piga kazi
(5) fomu nilichukua mwenyewe sipangiwi na mtu
(6)msaliti anayewasaliti wanajeshi wenzake wakiwa vitani hatakiwi kuishi
(7)mpaka ifikapo mwaka 2020 kutakuwa hakuna upinzani tanzania
(8)upinzani ni kama nyoka tumemponda nyoka kichwa
(9)
(10)jazia nukuu nyingine
11. Sisi ndo tutawapelekea mitumba wazungu
12. Wastafu wanawashwa washwa
13. Asiyefanya kazi na hasile
14. Muniombee
15.
 
Back
Top Bottom