Nukuu toka kwa Rais Magufuli (QUOTES)
Hizi ni baadhi ya kauli maarufu alizoziacha

1.Sitawaangusha
2.Nchi hii imechezewa sana
3.Nimejitoa sadaka kwa ajili ya Watanzania wanyonge
4.Maendeleo hayana chama
5.Tusitumike na mabeberu

Kauli gani nyingine utazikumbuka kutoka kwake?
 
Back
Top Bottom