NUKUU: Vikao vianze tu hivyo hivyo, hata kama hayupo, amesusa au hajulikani alipo!

Hawaamini wote sasa hivi.

Hata wao pia wanamuona yupoyupo tu.

Nani wa kumsemesha mwenzie amuelekeze njia sahihi?
 
chocheeni kuni makande ya karibu kuiva
 
Mburukenge we nyumbu
 
Watu fitna, vizabizabina..mpo!
 

Attachments

  • IMG_20250720_121431.jpg
    137.3 KB · Views: 13
Ajiuzulu
 
Kagame alimuonya magu kuhusu kikwete na akamwambia nini cha kufanya,mnakumbuka hili?
Magu akachelewa chelewa akawahiwa,na sasa ndilo linalotutesa watanganyika
Huyu mtu hatufai inakuwaje unatamani pesa wakati wote
 
Upo na hoja usikilizwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…