Soma post uilelewa kabla ya kujibuMbona unajichanganya sasa. Sasa si mtu ananunua ili aweke hao vija a wapangaji? Kama ulivyosema ni nyumba za biashara. Kwahio kununua inakuwaje tena ulimbukeni? Halafu kuna mtu yeye anataka akae Masaki na hawezi kutoa $2m anunue nyumba/kiwanja sasa option yake ni kununua apartment yake.
Anaendelea alipoishia ๐๐๐Mpambano unaendelea ๐น๐น
Kauli yako: Mtu kujunua apartment ni ulimbukeni.Kwa maoni yangu mimi, mtu kununua apartment ni ulimbukeni sana. Apartment ni za kupanga tu siyo kununua na kufanya makazi yako ya kudumu. Maisha ya kwenye apartment ni kwa vijana ambao bado wanajitafuta. Mtu mzima anatakiwa aishi kwenye nyumba yenye uwanja na privacy.
UNAJUA NDUGU YANGU HAWA NDUGU ZAKO NI VIBURI TU๐ HILO TANGAZO NIMEPOST KUNA WATU NIMEWALENGA AMBAO NI MATAJIRI SIO MAKAPUKU KAMA WAO, YAANI MTU KULA KWAKE TU KWA SHIDA HARAFU ANA COMMENT UTUMBO KWENYE POST ZA DOLA POST ZA MATAJIRI SASA MIMI NAMUACHAJE? NAMSHONA TU, SPANA MWANZO MWISHO๐ WAAMBIE WANIPISHE TANGAZO SIO LAO HILO. WASUBILIE NYUMBA ZA KISEMVULE HUKO ZA LAKI 8 HOVYO KABISA. WANANILETEA UJUAJI MIMI๐ NAWAMUDU WOTEMlitaka mlipe ngapi? 250m kwa sasa sio pesa nyingi sana kwenye ujenzi wa nyumba ya kisasa, na nyumba siku zote zinapanda thamani, vile vighorofa vya zamani vya upanga au kariakoo watu wameuza kwa billion, Dar inakuwa kwa kasi sana na gas inayokuja & bandari mpya pesa zitakuwa nyingi sana hiyo 250m itakuwa pocket change in 10 years
Kauli yako: Mtu kujunua apartment ni ulimbukeni.
Kauli yako tena: apartment ni za kupanga tu sio kununua uishi.
Afadhali ulisema ni maoni yako hata kama hayana maana yoyote kwa meingine ni maoni
Brondo kaka hana akili huyu achana nae, kwanza mi namjua hajarejesha malejesho ya pikipiki yake kwa boss wake, kwahiyo hapa anapunguza stress zake za maisha๐Kauli yako: Mtu kujunua apartment ni ulimbukeni.
Kauli yako tena: apartment ni za kupanga tu sio kununua uishi.
Afadhali ulisema ni maoni yako hata kama hayana maana yoyote kwa meingine ni maoni yako.
ha ha ha kwanini ? ebu tupe sababu aisee inaweza kunisaidia kubadili mawazoNi mjinga tu atakae nunua chumba kimoja kwa hicho kiasi yaani million 250 ni upungufu wa akili.
tukiacha Sugu katwaambia nini ki uhalisia Tanzania bado hatujafikia uko sijui mambo ya kununua ma apartment 200ml mpka 600ml,sababu uchumi wa wengi ni kuunga unga na madeal ya hapa na pale , pia hatuna uhaba wa ardhi nchini!! mchina mmoja amewekeza maeneo ya mikocheni analia mpka leo hata nusu ya apartment ajauza au kupangisha!!!mwaka 7 sasa!!Ninyi ndio wale ambao sugu anawaambia..................yenu.
Una uhakika na unachokisema au chapati na maharage vinakusumbua tumboni saizitukiacha Sugu katwaambia nini ki uhalisia Tanzania bado hatujafikia uko sijui mambo ya kununua ma apartment 200ml mpka 600ml,sababu uchumi wa wengi ni kuunga unga na madeal ya hapa na pale , pia hatuna uhaba wa ardhi nchini!! mchina mmoja amewekeza maeneo ya mikocheni analia mpka leo hata nusu ya apartment ajauza au kupangisha!!!mwaka 7 sasa!!
denisi eu tuwe realistic acha porojo na mambo ya 10% ... PROJECT YA PALM VILLAGE umeisha tembelea? hali imekuwa kinyume na matarajio investior mcnina analiaUna uhakika na unachokisema au chapati na maharage vinakusumbua tumboni saizi
Mzee mchina hawez kusafiri maili kibao afike hapa aombe umiliki wa ardhi harafu akujengee mradi ambao NHC wanajenga, hawez kufanya huo upuuzi. Wateja wa kununua kwa million 250, 300, 400 hadi bil wapo wengi tu. Ishu hapa ni location na quality ya property yako wateja hata billion utawapata tu.Mie nafikiri wangeweka affordable 45ml mpka 100ml kama hizo za NHC KAWE , KWA MWAMPOSA. sema nao wamefuata mkumbo hiyo project kawe beach 4ooml mpka 600ml zimedollola wanunuzi wa kusuasuasq. eti wana projecction ya kodi 1500usd mpaka 3000usd one bedroom to threebedroom
Jamaa ana sahau kuwa hapa jamii forum kila siku anapost same ad mara 10denisi eu tuwe realistic acha porojo na mambo ya 10% ... PROJECT YA PALM VILLAGE umeisha tembelea? hali imekuwa kinyume na matarajio investior mcnina analia
Anakuigizia babu, nipe data halisi harafu ntakupa za kwangu. Project nzima ya palm village ina unit ngap na ameuza ngap mpaka sasa, zimebaki ngap? Na tukitoka hapo niambie service charge yake ni bei gani kila mwezi kwa kila unit au bedroom au apartment moja. Na mradi toka ukamilike una muda gani? Nijibu hivyo vitu 3 harafu na mimi ntakupa majibu yangu ya ile property.denisi eu tuwe realistic acha porojo na mambo ya 10% ... PROJECT YA PALM VILLAGE umeisha tembelea? hali imekuwa kinyume na matarajio investior mcnina analia
Ukiona napost mara nyingi ujue kuna matokeo chanya kenge ww, siwez kupoteza nguvu zangu nipost biashara yangu sehem ambayo haina walengwa ninao wakusudia. JiongezeJamaa ana sahau kuwa hapa jamii forum kila siku anapost same ad mara 10
Hana anachokijua yule mzee atakupotezea muda wako tu๐๐๐ha ha ha kwanini ? ebu tupe sababu aisee inaweza kunisaidia kubadili mawazo
Hana anachokijua yule mzee atakupotezea muda wako tuha ha ha kwanini ? ebu tupe sababu aisee inaweza kunisaidia kubadili mawazo
Ukitaka affordable price nenda kwenye miradi ya NHC babu utapata kwa bei unazozitaka wwMie nafikiri wangeweka affordable 45ml mpka 100ml kama hizo za NHC KAWE , KWA MWAMPOSA. sema nao wamefuata mkumbo hiyo project kawe beach 4ooml mpka 600ml zimedollola wanunuzi wa kusuasuasq. eti wana projecction ya kodi 1500usd mpaka 3000usd one bedroom to threebedroom
Mangi eee hebu tuwekee hapa gharama nyingine mnunuzi atakazolazimika kulipia baada ya kununua hiyo nyumba.Iko nyuma kwa sabb watanzania wengi mnapenda vitu vizuri kwa bei ya mseleleko, harafu ujuaji mwingi kumbe Huna unachokijua. Kaka hiyo dola 94dola kwa standard ya mradi wetu sisi tuko chini kulinganisha na washindani wetu kama Simba developers, Swan, manhatan masaki, Laluna masaki, Johari masaki, No 7 garden masaki hao developers wote niliowataja wana property bei zao zimesimama masikini kama ww hutii put yako. Lakin cha kushangaza utakuta iko full, wenye hela wamezinunua๐๐.
Ngoja nikupe elimu kidogo.
Apartment masaki za one bedroom zenye square meter 48 hadi 49 zinaanzia dola 120,000 mpaka 150,000๐.
Lakini zetu sisi ni square meter 54 tunauza 94000 dola.
Ukiangalia size ya square meter yetu ni kubwa na bei ni ndogo kulinganisha na wenzetu.
Unajua kwann? Ukiniuliza ntakupa jibu.
Mimi nina hela na ndio maana najua uchungu wa kuzitumia hovyo; wewe huna hela unategemea commission baada ya kuwauzia wajinga hizo apartment uchwara!! Hakuna wauza madawa ya kulevya hapa bongo wa kuweza kununua upuuzi wenu huo!! Utangoja sana!!!Sijajua kama nilikujibu au labda nilikusahau. Hiv ww unafiria wenye hela ni wapumbavu kama ww๐๐ lala uko ntakuja kukupa mtusi bure saiz na mfungo huu.