Nunua gari Ndugu yangu. Aibu ndogo ndogo zinaepukika

Kaka umemaliza kila k2…
Niamini mm hakuna mwenye hoja yenye nguvu ya kukipanga comment yako..

Wengi wao hawajui kutofautisha gharama za ujenzi na ununuzi wa gari cz wanajenga mabanda y kuegesha ubavu
Kweli Bro.. ndio ile mtu anajenga na kuhamia hivyo hivyo.. (Banda halijaisha). Yaan anajenga nusu, nusu atamalizia akiwa ndani ya hilo banda lake.

Unakuta anahamia hakuna madirisha wala milango, vyumba vya upande mwingine havijaezekwa.. choo hakieleweki. Anajipa moyo kwamba (Naishi kwangu sidaiwi kodi) hajui kwamba nyumba (Banda) la hivyo ni gharama zaidi kuirekebisha na mara nyingi watu wa hivi wanatoka nje ya Ramani ya hilo Banda...

Ujenzi wa nyumba una standard zake. Nje ya hapo ni Banda la kuzuia Mvua, Jua na upepo mkali.
 

Kama gari ukiagiza mpaka inafika ni mil 13 #E.. why ikatumika mwaka au ukaotea mtu ana shida zake akakupa kwa mil 10 una hasara gani?..

Gari ni muhimu sana... mie kipindi nanunua gari yangu ya kwanza niliexperience mambo mengi sana.. ikiwemo kuwa na moyo mgumu... ipe matunzo ikutunze.
 
Mleta mada upo sahihi....ila ushauri wako ni kwa vijana wapambanaji yaani wale wasiopenda kupoteza muda.....

Siku wife alivyobanwa na uchungu usiku ndo akili ya kununua gari ikanijia....

Mfano....kuna jamaa angu amejenga ila Hana usafiri akipata dharura ya haraka anamuomba jirani yake ambae kajipangia kaself.........

Gari unanua kwa mkupuo....ila kujenga unaweza kujenga polepole as long as uwe tu mpambanaji....laki 1 unapata tofali na mfuko WA cement
 
Nina mshkaji wangu aliwahi kuniambia hataenda kanisani kamwe hadi amiliki usafiri wake, aliona aibu kupanda bajaj wakati majority ya wenzake wana vipando vyao binafsi.

Luckily, sasa amenunua CX-5 yake mujarabu na anaenda kumwabudu Mungu wake bila unafiki🀣

Gari ni nyenzo muhimu sana kwa nyakati hizi.
 
Kwa kweli, walau BMX tena upate domo la mamba, unakatiza mitaa na kupunguza adha ya usafiri mjini. Changamoto za mvua na likelihood ya ajali ndio shida.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Si utaandaa baby shower udugu ake? Lol
😹😹😹 Yani niandae baby shower kumpokea mtoto wa Kenzy?? Hiyo hapana tafuta mume mwingine.!! 🀣
 
😹😹😹 Yani niandae baby shower kumpokea mtoto wa Kenzy?? Hiyo hapana tafuta mume mwingine.!! 🀣
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Udugu mbna Kenzy yuko poa kabisa, mtoto atakua na ki komwe cha uchokozi.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Udugu mbna Kenzy yuko poa kabisa, mtoto atakua na ki komwe cha uchokozi.
Akili zako na za Kenzy hapana tutapata Trump au jiwe mambo yatakua vululu vululu..!! 😹😹
 
Kwa kweli, walau BMX tena upate domo la mamba, unakatiza mitaa na kupunguza adha ya usafiri mjini. Changamoto za mvua na likelihood ya ajali ndio shida.
kabisa yan..
Nchi zilizo endelea km china, japan na german uwaambii k2 kwa cycling πŸš΄πŸ½β€β™‚οΈ
 
Nakubaliana na wewe mkuu 🀝
 
🀣 na trust me kaka… ukiwa na gari huwez kwenda kwa makuani wa michongo wanao hubiri pesa na magari.

Utaenda sehemu roho inaguswa na hakika Mahubiri yake yatahusu kumjua Mungu zaidi na kumshukuru kwa baraka na neema.

Sio unaenda kanisani Mchungaji anahubiri shida na matatizo kila cku…

Mara pokea pokea pokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…