WeeeehUkimkuta mwanamke yeyeto anauza chochote mtaani kama unayo pesa wwe nunua tu na usidai chenji, hio chenji yako inaenda kupeleka furaha kwenye familia yake.
Kumbuka yeye ni mama kuku asipotoka watoto wamelala njaa.
Acha roho mbaya..sasa yy atajuaje kama huyo anayemuomba kumtwisha ananyota kali zaidi mpaka amuibie????Msiseme dmkali kasema!
Biashara ya wauza mihogo na vifurushi inasaidia sana! Lakini namna ya uuzaji hiyo mihogo ndiyo inaleta maswali!
Muuzaji anaweza toka na beseni lake kutoka huko aliko toka lakini akiona wanaume kikundi anakuja kulibwaga beseni Pwaah!
Halafu anaanza kuwaangalia usoni! Msiponunua au mkinunua lazima Apointi mmoja kati yenu AMTWISHE BESENI HILO!
Imagine kalishusha mwenyewe pasipo kuomba, lakini kujitwisha anawaambia hawezi!
Ushauri wangu! Msiendekeze sana kuwatwisha hayo mabeseni wengine wanamaelekezo ya kuchota nyota zenu!
Ukimtwisha beseni unakuwa umemtwisha na nguvu hata baraka zako na ridhiki zako zote siku hiyo achukue
NOTE! SIYO WOTE LAKINI BAADHI YAO
View attachment 2348007
He is...Heeee....... As the man thinketh 🤣🤣🤣
Kuna mmoja alimtwisha beseni basi siku mwili unamuuma kumbe ndo alizungusha beseni siku nzima kichawiKuna mmama mwaka fulani aliwahi kuniomba nimtwishe kigunia fulani maeneo ya mjini. Ebwana kile kigunia kilikuwa kizitoo hatari. Nikajiuliza ni nini maana hata mchele au unga siyo mzito vilee.
Ila nchi hii tumezungukwa na watu wanaotembea na kinga au nguvu za jadi. Ni mambo ambayo Watanzania wengi wanayaamini, ushahidi ni katika siasa na mpira wetu.
HATA OMBA OMBA WANAROGA SANA SEMBUSE HAO!We saidia tu wakitaka kukuroga hawakukosi Wana njia nyingi watakupata tu labda uwe na bullet proof yaani vya kuzuia uchawi.
Unajua adhabu wanayoipata juani huku wamebeba mabeseni?,hao wamama wanaishi na sisi mitaani na wanasomesha watoto wao Kwa shida na wengine ni ndugu zetu. Nikiona MPUMBAVU mmoja anakuja kuongea ujinga wake Kwa mifano ya kitoto kuhusu ushirikina ukihusisha dada zetu na shangazi zetu wanaojitafutia riziki Kwa tabu juani natamani nikupigige hata viboko. Mifano ya ushirikina na uchawi ipo mingi itafute uanzishe thread ila sio hii ya kujaribu kuharibia watu wanaohangaika juani, watu wengine wataanza kuogopa hata kula hiyo mihogo. Wewe ndo zaidi ya mchawi. Narudia wewe ni MPUMBAVU.Kwani washirikina wote mabilionea?
Wana macho ya kichawi! Kule tanga wanaita mazongo!Acha roho mbaya..sasa yy atajuaje kama huyo anayemuomba kumtwisha ananyota kali zaidi mpaka amuibie????
Mi nimetoa tahadhali tu mkuu sikupangii unaweza wasaidia kabisa hata kutembeza hayo mabeseniUnajua adhabu wanayoipata juani huku wamebeba mabeseni?,hao wamama wanaishi na sisi mitaani na wanasomesha watoto wao Kwa shida na wengine ni ndugu zetu. Nikiona MPUMBAVU mmoja anakuja kuongea ujinga wake Kwa mifano ya kitoto kuhusu ushirikina ukihusisha dada zetu na shangazi zetu wanaojitafutia riziki Kwa tabu juani natamani nikupigige hata viboko. Mifano ya ushirikina na uchawi ipo mingi itafute uanzishe thread ila sio hii ya kujaribu kuharibia watu wanaohangaika juani, watu wengine wataanza kuogopa hata kula hiyo mihogo. Wewe ndo zaidi ya mchawi. Narudia wewe ni MPUMBAVU.
Hizi Ngano za fizik ni sound na fiksi tu. Ingekuwa hivyo mmatumbi angekuwa wa kwanza kwenda anga za juu. Somo la kweli ni kiswahili tu.Umeamua kumrudisha kwenye physics ya form 2😀😀
Somo zuri ni lile linalokupa kula! Hapo mengine ni hadithiHizi Ngano za fizik ni sound na fiksi tu. Ingekuwa hivyo mmatumbi angekuwa wa kwanza kwenda anga za juu. Somo la kweli ni kiswahili tu.
Ndo maana wanaweka vikopo vya kuwekea hela badala ya mkono Ili kwa wenye imani hizo msiwe na shakaHATA OMBA OMBA WANAROGA SANA SEMBUSE HAO!
OMBA OMBA wanatumia uchawi wa chuma ulete ukitoe moja na zingine zote zinayeya pyuuuu we neng'eneka siku utajaa kwe kumi na nane utakuja humu kusaka huu uzi