Lanlady
JF-Expert Member
- Feb 27, 2019
- 1,836
- 6,303
Ila watanzania wengi sana tunaishi kwa hofu ya kurogwa na hii nadhani inasababishwa na ugumu wa maisha.
Kila mwenye hali bora kuliko mwingine anahisi yule wa chini atamroga na yule wa chini naye anahisi wa juu amemroga ndio maana hafanikiwi!
Nchi ngumu sana hii. Na hizi TOZO +ugumu wa maisha ndio kabisaa, imani za kishirikina zinaongezeka!
Na mtu mwenye kupenda ushirikina ni vigumu kumkwepa, anaweza kunuizia hata kwa kukusalimia tu😀😀
Tozo ni wizi!