Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
- #101
Wapo pia ambao nimehisi matapeli, hasa kutoka kwa hawa majirani zetuUmekuja lini mjini? Hapo unaingizwa kwemye mfumo utapeliwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapo pia ambao nimehisi matapeli, hasa kutoka kwa hawa majirani zetuUmekuja lini mjini? Hapo unaingizwa kwemye mfumo utapeliwe
fanya haraka sanaNakutumia akaunti ya shule sasa hivi 😀
toka hapa na fix tu kumbe upo Ngara huko kabanga unachotesha maji warundi/wahangazaNashangaa mpaka warembo kutoka Sierra Leone wananitafuta 😀
ha ha ha hafanya haraka sana
Hawa watoto sijui wananipendea nini, congo, ivory cost, siera leone, Africa mashariki n.k halafu ni pisi kali kwelitoka hapa na fix tu kumbe upo Ngara huko kabanga unachotesha maji warundi/wahangaza
Nchi hii imejaa maafisaMaafisa utamu, maafisa ubashiri, maafisa usafirishaji... unemployment rate ya Tz itakuwa ni 1% maana ajira kila kona 😀😀
😂 salamu tu mwamba kashadinda.Yaani kuambiwa hello kwako tayari ni mtongozo.
Hii weakness huwa inatumaliza sana wanaume
Leta assists hizoSiku moja niliamua kutembelea akaunti yangu moja ya mtandao wa kijamii, baada ya kuingia 'inbox' nikakutana na sms (jumbe) nyingi za wadada na wamama mbalimbali kutoka sehemu mbalimbali za Afrika; nyingi zilikuwa zinasema, 'mambo', 'hallow' n.k
Wengine wakiomba urafiki n.k; nikawa najiuliza kwa nini wote wawe jinsia moja tu, ndipo nilipo gundua, kwa sasa wanaume halisi wanahitajika sana.
Bahati nzuri nilichati nao, na nikawaambia nina wake pamoja na wajukuu; ingawa hiyo kauli haikuwapendeza sana.
Lakini ndio hivyo, ulimwengu umebadilika.