Nyakati hizi, wadada wanatongoza sana wanaume

Nyakati hizi, wadada wanatongoza sana wanaume

Hata sijui wanatoa wapi nguvu ya kusalimia ovyo watu wasiowajua,my friend ni kubaya,ni hatari sana kuchat na strangers,vile wameweka profile wanaspin gari kubwa kubwa hahaha run for your life.
 
Kwani kukujulia hali ndio anakutaka? Inawezekana kwenye profile yako kaona ww mfanyabiashara, sasa anataka kujua mengi zaidi ya kujifunza kutoka kwako. Acha kuwaza ngono. Ndiomana wakenya wanatucheka
Hakuna aliyeniletea mishe ya biashara ata mmoja, na kwa nini wawe wanawake tu?
 
Back
Top Bottom