Nyambizi iliyopotea mpaka kesho saa 9 alasiri itaishiwa oxygen

Sasa hivi zimeanza kuja taarifa kuwa kati ya nyambizi 5 zenye uwezo wa kufikia mabak ya titanic ni hiyo tu ambayo haikuwa certified. Mara wameanza imetengenezwa kwa cheap.materials
Sio kazi ya mtu binafsi kutambua ubora wa kifaa fulani. Kampuni ikisharuhusiwa kuendesha shughuli automatically inakubalika moja kwa moja na wateja, sio mara ya kwanza OceanGate kufanya utalii huo kwa kutumia hiyo Titan. Washaenda wengine na kuna Mjerumani mmoja alisema experience yake kwenda na hicho kidude ni mbaya ni ya kutia hofu muda wote. Haiwezekani kampuni isajiliwe ifanye kazi miaka kadhaa alafu isiwe na certification ya kufanya hivyo, sidhani kama uzembe wa aina hiyo unaweza tokea nchi ile. Labda tuseme kuna udanganyifu wa ubora wa vifaa na specifications. Tusubiri inquiry
 
Mkuu hebu tupe maelezo ya ziada hapa tufaidike.
Nilishawahi kulizungumzia hili kwa ufupi kwenye thread ya vita ya urusi na Ukraine page (2635) post namba (52,686) I think ni last year but nachoweza kusema, ni kwamba baada ya tukio hili ndiko ikapelekea kuanzishwa kwa FEDS (federal reserve system) mwaka 1913. Hivyo Mkuu kapitie pitie na wew utapata mengi ya kujifunza.
 
Bahati mbaya huwezi kuifungua ukiwa kwa ndani inafungwa na kufunguliwa kutokea nje kwahiyo hata ikielea bado watabaki ndani wakiwa hawapati oxygen hawana chakula wala maji
 
Hilo nalijua na mwingine kasema kuqa mle ni sawa na suicide mission. Hizo ni habari zinazo trend zikiwemo mara ilikuwa inaendeshwa kwa gamepad ya logitech toleo la 2010, na mengine mengi yanazidi kuibuka ikiwemo mmojawapo wa maengineer kurise concern kuhusu usalama wa chombo akapigwa chini yani akafukizwa kazi.
Haya mambo ni kawaida ikitokeaga ajali ndipo yanaibuka. Mmojawapo wa maengineer walikidesign kasema kuwa chombo kilikuwa designed na materials za offshelf makusudi na ili kucut cost na kiwe cheap na kuwa cheap haina maana hakikuwa salama.
Kumbuka pia kuna jamaa alipaswa kuwa kwenye huo msafala na alikuwa ashalipa pesa ila akaghairi kwa hofy ya usalama.
So mastory kwa sasa ni mengi na hiyo ni kawaida.
Hii habari ya kwamba hakikuwa certified nmeisoma jioni hii kwenye news feeds
 
mtu analipa dola 250,000 wanashindwa kuwa na ubora wa kukabiliana na tahadhari hiyo kampuni waifilisi.hiyo kampuni itakua inamilikiwa na ccm
 
Kwa iyo urusi itakua imeshafanya yake nini
 
Jesuits...
 
unabishana na uhalisia? Punguza kujua pasipo sabab tembelea account ya Tesla you tube... Ulegeze ujuaji!
 
Basi ninoma sana hawa jamaa
 
Basi ninoma sana hawa jamaa
“I mean, if you just want to be safe, don’t get out of bed,” he said in an interview with “CBS News Sunday Morning” last year. “Don’t get in your car. Don’t do anything. At some point, you’re going to take some risk, and it really is a risk-reward question. I think I can do this just as safely by breaking the rules.” - Stockton Rush
 
"𝙉𝙙𝙚𝙜𝙚 𝙮𝙖 𝙞𝙣𝙟𝙞𝙣𝙞 𝙣𝙣𝙚 𝙮𝙖 𝙋-3 𝙊𝙧𝙞𝙤𝙣, 𝙖𝙢𝙗𝙖𝙮𝙤 𝙞𝙡𝙞𝙜𝙪𝙣𝙙𝙪𝙖 𝙠𝙚𝙡𝙚𝙡𝙚 𝙮𝙖 𝙠𝙞𝙨𝙝𝙞𝙣𝙙𝙤 𝙅𝙪𝙢𝙖𝙩𝙖𝙣𝙤, 𝙞𝙡𝙞𝙞𝙣𝙜𝙞𝙖 𝙠𝙬𝙖 𝙢𝙖𝙧𝙖 𝙮𝙖 𝙠𝙬𝙖𝙣𝙯𝙖 𝙢𝙣𝙖𝙢𝙤 1962 𝙣𝙖 𝙞𝙣𝙖𝙩𝙚𝙜𝙚𝙢𝙚𝙖 𝙣𝙙𝙚𝙜𝙚 𝙮𝙖 𝙇𝙤𝙘𝙠𝙝𝙚𝙚𝙙 𝙀𝙡𝙚𝙘𝙩𝙧𝙖.

𝙉𝙙𝙚𝙜𝙚 𝙞𝙡𝙞𝙜𝙪𝙣𝙙𝙪𝙖 𝙠𝙚𝙡𝙚𝙡𝙚 𝙗𝙖𝙖𝙙𝙖 𝙮𝙖 𝙠𝙪𝙖𝙣𝙜𝙪𝙨𝙝𝙖 𝙢𝙖𝙗𝙤𝙮𝙖 𝙮𝙖 𝙨𝙤𝙣𝙖𝙧, 𝙖𝙢𝙗𝙖𝙮𝙤 𝙮𝙖𝙡𝙞𝙩𝙚𝙡𝙚𝙯𝙖 𝙟𝙪𝙪 𝙮𝙖 𝙗𝙖𝙝𝙖𝙧𝙞, 𝙞𝙠𝙞𝙨𝙞𝙠𝙞𝙡𝙞𝙯𝙖 𝙨𝙖𝙪𝙩𝙞 𝙖𝙢𝙗𝙖𝙯𝙤 𝙖𝙨𝙞𝙡𝙞 𝙞𝙨𝙞𝙣𝙜𝙚𝙬𝙚𝙯𝙚𝙠𝙖𝙣𝙖 𝙠𝙪𝙩𝙤𝙖.

𝙄𝙡𝙞𝙥𝙤𝙠𝙚𝙖 𝙠𝙚𝙡𝙚𝙡𝙚 𝙯𝙖 𝙠𝙖𝙬𝙖𝙞𝙙𝙖 𝙯𝙖 𝙠𝙞𝙨𝙝𝙞𝙣𝙙𝙤 𝙠𝙬𝙖 𝙢𝙪𝙙𝙖 𝙬𝙖 𝙙𝙖𝙠𝙞𝙠𝙖 30, 𝙟𝙖𝙢𝙗𝙤 𝙖𝙢𝙗𝙖𝙡𝙤 𝙬𝙖𝙩𝙖𝙖𝙡𝙖𝙢𝙪 𝙬𝙖𝙣𝙖𝙥𝙚𝙣𝙙𝙚𝙠𝙚𝙯𝙖 𝙣𝙞 𝙞𝙨𝙝𝙖𝙧𝙖 𝙠𝙬𝙖𝙢𝙗𝙖 𝙬𝙖𝙣𝙖𝙛𝙖𝙣𝙮𝙬𝙖 𝙣𝙖 𝙬𝙖𝙣𝙖𝙙𝙖𝙢𝙪.

"𝙐𝙠𝙬𝙚𝙡𝙞 𝙠𝙬𝙖𝙢𝙗𝙖 𝙞𝙨𝙝𝙖𝙧𝙖 𝙮𝙖 𝙨𝙖𝙪𝙩𝙞 𝙯𝙞𝙢𝙚𝙩𝙤𝙛𝙖𝙪𝙩𝙞𝙖𝙣𝙖 𝙠𝙬𝙖 𝙙𝙖𝙠𝙞𝙠𝙖 30 𝙣𝙖 𝙣𝙞 𝙞𝙨𝙝𝙖𝙧𝙖 𝙣𝙯𝙪𝙧𝙞," 𝙖𝙣𝙖𝙨𝙚𝙢𝙖 𝙅𝙖𝙢𝙞𝙚 𝙋𝙧𝙞𝙣𝙜𝙡𝙚, 𝙢𝙨𝙤𝙢𝙖𝙟𝙞 𝙬𝙖 𝙨𝙖𝙮𝙖𝙣𝙨𝙞 𝙮𝙖 𝙠𝙞𝙟𝙞𝙤𝙜𝙧𝙖𝙛𝙞𝙖 𝙠𝙖𝙩𝙞𝙠𝙖 𝘾𝙝𝙪𝙤 𝙆𝙞𝙠𝙪𝙪 𝙘𝙝𝙖 𝙆𝙚𝙚𝙡𝙚 𝙣𝙘𝙝𝙞𝙣𝙞 𝙐𝙞𝙣𝙜𝙚𝙧𝙚𝙯𝙖.

"𝙋𝙧𝙤𝙥𝙚𝙡𝙖 𝙮𝙖 𝙢𝙚𝙡𝙞 𝙖𝙢𝙗𝙖𝙮𝙤 𝙞𝙣𝙖𝙬𝙚𝙯𝙖 𝙠𝙪𝙚𝙣𝙙𝙚𝙡𝙚𝙖. 𝙄𝙨𝙝𝙖𝙧𝙖 𝙮𝙖 𝙨𝙖𝙪𝙩𝙞 𝙞𝙣𝙖𝙨𝙖𝙛𝙞𝙧𝙞 𝙢𝙗𝙖𝙡𝙞 𝙨𝙖𝙣𝙖 𝙢𝙖𝙟𝙞𝙣𝙞, 𝙠𝙬𝙖 𝙝𝙞𝙫𝙮𝙤 𝙝𝙞𝙮𝙤 𝙣𝙞 𝙝𝙖𝙗𝙖𝙧𝙞 𝙣𝙟𝙚𝙢𝙖 𝙣𝙖 𝙢𝙗𝙖𝙮𝙖.

𝙐𝙩𝙖𝙝𝙞𝙩𝙖𝙟𝙞 𝙖𝙣𝙜𝙖𝙡𝙖𝙪 𝙢𝙖𝙗𝙤𝙮𝙖 𝙢𝙖𝙩𝙖𝙩𝙪 𝙠𝙖𝙩𝙞 𝙮𝙖 𝙝𝙖𝙮𝙤 𝙩𝙪𝙡𝙞 𝙞𝙡𝙞 𝙠𝙪𝙬𝙚𝙯𝙖 𝙠𝙪𝙜𝙚𝙪𝙯𝙖 𝙘𝙝𝙖𝙣𝙯𝙤 𝙘𝙝𝙖 𝙨𝙖𝙪𝙩𝙞 𝙠𝙪𝙬𝙖 𝙥𝙚𝙢𝙗𝙚 𝙩𝙖𝙩𝙪 𝙞𝙡𝙞 𝙠𝙪𝙥𝙖𝙩𝙖 𝙚𝙣𝙚𝙤."

BBC Swahili

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mkuu unaongea kama hujui maana ya ajali.hata ujipange vip ikiamua kutokea inatokea tuh.hicho chombo kilichozama unazan kimeanza fanya kazi leo?
Kitambo kinapeleka watalii huko chini ila ndio mipango ya mola hio
 
Safi

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…