PreGE2025 Nyamuhokya: Mwaka huu Tucta hatuna madai kwa Rais labda yeye kama mama akiona ana cha kufanya

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
no,
miwani haiuhisiki,
vaa tshirt, skafu, kofia au shati la ccm kizalendo na itapendeza zaidi gentleman, huna haja ya kubabaika sana.

waTanzania wote ni maafisa usalama wa Taifa lao

nani anayejali
 
Nadhani moyoni anaweza hivi "Kama tukiomba hatupewi ni Bora atupe yeye akiona inafaa"
Sidhani kama ni hivyo na kama ni hivyo basi kuna Giza Nene sana mbele yetu maana msingi wa kuanzisha vyama vya wafanyakazi ni kuwaungunisha wafanyakazi ili kuipa presha serikali. Kwa hiyo walitakiwa kuipiga serikali spana za kutosha Hadi akili ikae sawa
 
Yes,
you can see hata hao wanyama wanapendeza mno kua painted na rangi za chama tawala,

huenda wakiwa paintede na rangi za vyama vingine ingekua anajikimbia hata yeye mwenyewe
Watumishi wa umma kukosa maslahi bora ni kosa la kiufunndi ambalo hatuhitaji kulichekea hata kidogo maana madhara yake ni maumivu kwa taifa
 
Watumishi wa umma kukosa maslahi bora ni kosa la kiufunndi ambalo hatuhitaji kulichekea hata kidogo maana madhara yake ni maumivu kwa taifa
dosari, kasoro na chanagamoto ndogondogo za watumishi nyingi zimetatuliwa na ubora wa maslahi yao umeboreshwa kwa kiwango cha juu sana,
na kwa mawaka huu huenda watumishi mashambani kwenye kilimo wakanufaika zaidi
 
Unaweza kuleta ushahidi wa kimantiki na wa dhahiri wa viwango maslahi yao yameshughulikiwa!?
 
dosari, kasoro na chanagamoto ndogondogo za watumishi nyingi zimetatuliwa na ubora wa maslahi yao umeboreshwa kwa kiwango cha juu sana,
na kwa mawaka huu huenda watumishi mashambani kwenye kilimo wakanufaika zaidi
Istoshe hata tukiitisha kura ya maoni ya hao watumishi wa umma utagundua kwamba Wala si maoni ya wafanyakazi na wala hawakumtuma aseme hayo.
Aliyoyasema ameyatunga mwenyewe ametumwa na dhamira binafsi
 
Sasa Mwanaume anaitwa Tumaini,kwanini asiwe na moyo kama wa Mama Abdul!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…