PreGE2025 Nyamuhokya: Mwaka huu Tucta hatuna madai kwa Rais labda yeye kama mama akiona ana cha kufanya

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Humu jf kuna wanachama wa tucta...vp mnasemaje

Ova
 
Mimi nashauri tu wamchangie Form Mama yao.
 
Bora kwa sabahu hata wakipeleka hayatafabyiwa kazi. Borw tu wamsifie afurahi.
Ataenda kujibu akiwa kaburini kama meko
 
Bora kwa sabahu hata wakipeleka hayatafabyiwa kazi. Borw tu wamsifie afurahi.
Ataenda kujibu akiwa kaburini kama meko
Kazi ya rais kama mwajiri mkuu ni kutafutia majibu waajiriwa wake whether ana majibu au hana hiyo ndo kazi aliomba kama hana majibu inapaswa chama kimuwajibishe ili akakune kichwa atoke na majibu
 
Unaweza kuleta ushahidi wa kimantiki na wa dhahiri wa viwango maslahi yao yameshughulikiwa!?
gentleman,
sio siri,
wao wenyewe wana kiri malimbikizo yao yamelipwa, wamepandishwa madaraja na maslahi yao kuboreshwa, mazingira na vifaa vya kazi ni salama na vya kutosha zaidi n.k.

kwa uthibitisho zaidi,
fuatilia bunge la bajeti linaloendelea hivi sasa na utaona namna ambavyo watumishi wa kisekta walivyoboreshewa maslahi yao
 
Mwaka wa kwanza ahadi, uliofuata hola, uliofuata akaja mwakilishi, matumaini yote ni keshokutwa!
 
Mzee ata kama umelipwa basi punguza makali ya kejeli kwa watumishi wa umma.
Hali kwa watumishi wa umma walio wengi ni mbaya sana wanaishi kwa kudra za Mungu kipato wanachopata hakiwiani kabisa na gharama halisi ya maisha.
 
Kama hii ndio position hapo Ieinga unataka asemeje?!
Pandikizi hilo
 
Mzee ata kama umelipwa basi punguza makali ya kejeli kwa watumishi wa umma.
Hali kwa watumishi wa umma walio wengi ni mbaya sana wanaishi kwa kudra za Mungu kipato wanachopata hakiwiani kabisa na gharama halisi ya maisha.
sote kama binadamutunaishi kwa kudra za Mungu kulingana na vipawa mabalimbali alivyomjalia kila mja wake,
hata hivyo,
huenda ni mtumishi asie jituma katika kufanya kazi kwa bidii ndie pekee mwenye hali mbaya, kulingana na maoni yako.

binafsi naishi mjini kwa kiasi na lakini nashi vijijini muda mwingi.
wananchi walio na hali bora zaidi ya maisha ni watumishi wa umma gentleman. Wao ndio wana majiumba mazuri ya kuishi na biashara, wao ndio wana magari mazuri ya kutembelea, wao ndio wamna mashamba na plots kubwa kubwa, wao ndio wanaendesha kausha damu nyingi n.k. Hii inamaanisha maslahi yao ni bora zaidi hata yanawapatia fursa ya kufanya shughuli nyingine za kujiongezea kipato
 
Unaweza kunitajia Kijiji na mji unaoishi ili nije nijionee aina ya hao watumishi unaonitajia!?
Maana nijuavyo mimi malalamiko ya watumishi wa umma ni kuwa ndio wanaoongoza kupigwa na kausha damu sijui unataja watumishi wepi!?
Niliposema kudra za Mungu nilimaanisha kipato wapatacho hakiwiani na hali halisi ya maisha lakini pia tumeachwa mbali sana kimaslahi na hata majirani zetu
 
🔥🔥
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…