PreGE2025 Nyamuhokya: Mwaka huu Tucta hatuna madai kwa Rais labda yeye kama mama akiona ana cha kufanya

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwani yeye ni mwajiriwa au mwajiri hata aseme hamna madai? Au yapo ila kayazika kwa manufaa ya nanii!
 
Nonsense👿
 
Wafanyakazi wanakamuliwa mishahara yao na kukatwa tozo ili kuwalipa hawa walafi na matapeli wa TUKTA etc - eti ni chama cha wafanya kazi - ULAJI TU
 
Wafanyakazi wanahitaji kupewa 💯 ya pensheni wanapostaafu kazi. Je, TUCTA hawajui hilo?
 
Hivi neno 'Rais' ni kama sielewi vizuri linatumikaje hapa tz, au labda ni neno linamaanisha kiongozi yoyote tu?
 
Sure
 
Nchi yetu ilikuwa lazima iongezee wafanya kazi itashindikana kwa kuwa tu tuna viongozi ambao tayari walishatekwa na state
 
Wafanyakazi wanahitaji kupewa 💯 ya pensheni wanapostaafu kazi. Je, TUCTA hawajui hilokuna
Yaani kuna usumbufu mkubwa sana hasa kwa mtu unapostaafu.
Eti mtu unafanya kazi miaka yote alafu tarehe yako ya kustaafu inajulikana alafu mwisho wa siku wakati wa kustaafu unaanza kuzungushwa hadi ukate tamaa.
Zaidi ya hayo hiyo pensheni yenyewe unapigwa kikokotoo hii nchi Ina maudhi mengi sana sijui ni nani atakuja kuikomboa.
Alafu anakuja hapa rais anatuambia hana cha kuiambia serikali
 
Sasa kama anakubalika hivyo, hofu ya kuwepo tume huru ya uchaguzi inatoka wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…