NYARAKA: Katiba Inayopendekezwa Oktoba, 2014 (Tanzania's Proposed Constitution)




MAJIBU YAKO HAYA HAPA:
Nenda kaisome tena hasa hasa SURA YA TATU, Sehemu ya 3; MALENGO YA KIUCHUMI, KIJAMII NA KIUTAMADUNI.

Pia kasome SURA YA NNE; IBARA YA 29-(1) vifungu (a) hadi (h) kisha utakuwa umepata majibu yako.

Kuhusu idadi uliyoisema ya Mawaziri kuwa 40 nadhani umeweka kinyume ama hujaielewa Katiba hiyo, kwasababu SURA YA NANE ya Katiba Inayopendekezwa katika kipengele (b) Baraza la Mawaziri IBARA YA 115-(1) hadi (5) kimefafanua wazi wazi kuwa "Kwa mujibu wa Ibara ndogo ya (1), Idadi ya Mawaziri na Naibu Mawaziri wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano HAITOZIDI AROBAINI". sasa wewe idadi hiyo ulosema wanazidi 40 umeisoma katika Katiba gani? ndo mana nakushauri uipitie kwa makini na kuielewa.
 

hiyo katiba ni takataka .mambo muhimu mmeyatoa yani ni katiba ya kishenzi kabisa
 

Ebu acha umburula wewe katiba hiyo inapatikana duniani hapa„„„„?
 
Ndg UFO nimeisoma na kuielewa, ndiyo maana nakwambia kuwa haitufikishi popote zaidi ya kuendelea kudidimiza Taifa. Malengo, malengo malengo yatabaki kuwa malengo, Malengo bila maadili thabiti ni kutwanga maji kwenye kinu, malengo bila uzalendo, uwazi na uwajibikaji kama tunu za Taifa ni kutwanga maji kwenye kinu tukitarajia kupata pumba za mahindi. Kuruhusu baraza kuwa na mawaziri Arobaini na kuogopa kuziweka wizara kwenye Katiba tena kwa majina ni ujinga uliopitiliza. Katiba inatakiwa izibe mianya iliyopo kwa kuweka majina ya wizara na kufunga ukurasa kwa kuandikwa idadi kamili ya wizara rejea rasimu ya Tume uone jambo hilo lilivyokuwa limwekwa vizuri/

bila maadili tuko chaka, ndg yangu mtanzania mwenzangu, Katiba pendekezwa haifai kabisa
 

Bongo lala hakuna kitu hapa.....hivi wewe cant u imagine the impact of giving much power to citizen...we unataka machafuko wewe hivi upewe rungu la kumuwajibisha mtu unategemea nini....Jamani tunaamini hao wakurugenzi wapo watu wanaowaoongoza wanaoitwa wafanyakazi ambao in other sense ni wananchi kumbuka moja kati ya haki za wanafakazi wanahaki ya kugoma sasa unadhani kwa kufanya hivyo hamuwezi kumuondoa wasiowajibika halafu ndugu yangu kumbuka Katiba Inayopendekezwa imezungumzia suala la Maadili ya viongozi wa umma au labda ni quote hapo kwenye kipeperushi tena kwa Lugha nyepeeeeesi Kabisaa



" AU HUYO MKURUGENZI AU MKUU WA WILAYA SIO MTUMISHI WA UMMA"
 

Hakuna pongezi hapo
 
Siitaji hata kusikia huu ujinga.

ongeza kufuri la 2 kwenye avatar yako ili uendelee kuverify uwezo wako wa kuelewa jinsi ulivyo mdogo,subiri wenzako wenye akili uone watakavyofanya maamuzi sahihi hapamwakati wa kupiga kura!
 

Mwakaboko kwa jinsi navyokujua hujaisoma yote na kwa mtindo huo huwezi kuielewa ndio maana unataka kila kitu kiwekwe kwenye katiba,unataka katiba iseme mkulima atalima heka 20 tu, mfugaji mifugo 100, wizara zitakua 5, mawaziri 4 etc hiyo siyo katiba ninayoijua mimi itakua barua ya posa hiyo au mahali, naomba upumzike ukipata mawazo mapya urudi tena!
 

Mwakaboko a jumping human being kwenye kila msafara hata wa siafu yeye analazimisha kuingia tu.
 
Watanzania wote hatuwezi kuwa na msimamo mmoja, ila ccm mna msimamo mmoja. Lazima mjitizame, kwanini ccm wote mna mtizamo mmoja?

Kama wewe mwenyewe sio raia wa Tanzania utajuaje msimamo wa watanzania, huna jipya kwani nini cha ajabu watu kukubaliana kwenye mambo ya msingi? Au hilo nalo hulijui wewe???wewe hata bunge huwa hufuatilii!!!
 
Nadhani jambo la muhimu nikubali kuwa natofautiana nawe kimtazama, Udhaifu ninaouona mimi, ww unaona ni strength ya Katiba pendekezwa. Mambo ambayo mimi nayaona siyo ya muhimu kuwemo ww unaona ni ya muhimu. Yale ambayo mimi naona ni vema yakawekwa. Ww unaona hayana umuhimu. Tofauti zetu ni za mtazama, Ila Katiba itapita but It won't last longer as expected. Inapita au inapitishwa I don't care, remember the cry for new constitution will start afresh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…