Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,211
- 3,611
Kuna siri gani kwenye ardhi ya Tanzania kwamba wanasiasa wa nchi za nje wakija kujiungamanisha nayo (wakilelewa Tz) wakirudi kwao wanaukwaa urais?
1. Samora Machel alipotoka Tz kurudi kwao akawa rais.
2. Chisano alipotoka Tz kurudi kwao akawa rais.
3. Filipe Nyusi alipotoka Tz kurudi kwao akawa rais.
4. Nelson Mandela alipotoka Tz kurudi kwao akaenda jela na baada ya jela akawa rais.
5. Thabo Mbeki alipotoka Tz kurudi kwao akapata sifa za kuwa rais na akawa rais baada ya Madiba.
6. Sam Nujoma alipotoka Tz kurudi kwao akawa rais. Nujoma alitoroka Wakoloni Namibia akatembea kwa Punda porini kukwepa kukamatwa; kwa miezi mitatu hadi Tz ndipo Mwl akampa pasi na tiketi ya ndege kwenda kuhutubia UN kudai uhuru.
7. Frederick Chiluba alipotoka kukata katani Tanga na kurudi kwao akawa rais.
8. Bingu Wa Mutahrika Sn alipotoka Tz kurudi kwao akajipatia sifa za kuwa rais na akawa rais.
9. Wa Mutharika Jr alipotoka Tz kurudi kwao akawa rais baada ya kaka yake.
10. Laurent Desire Kabila alipotoka Tz kurudi kwao akawa rais.
11. Joseph Kabila alipotoka Tz kurudi kwao akawa rais baada ya namba 10 hapo juu.
12. John Garang alipotoka Tz kurudi kwao akawa rais baada ya kuipigania utaifa wao kutoka Sudan.
13. Idd Amin alipotoka Tz kurudi kwao akapindua serikali akawa rais.
14. Milton Obote alipotoka Tz (baada ya kupinduliwa na Idd Amin) kurudi kwao akawa rais.
15. Mnangagwa alipotoka Tz kurudi kwao akaingia kwenye safu ya wanaostahili kuwa rais na akaja kuwa rais.
16. Yoweri Museveni alipotoka Tz kurudi kwao akawa rais.
17. Raila Odinga alipotoka Tz kurudi kwao sasa Agosti 19, 2022 anakuwa rais wa 5, mjaluo wa 1 Kenya na wa 8 duniani kuwa rais. Raila alikuwa Mhadhiri wa Kitivo cha Uhandisi UDSM, mwaka 1980 baada ya vuguvugu la MWAKENYA lililotuhumiwa kutaka kumpindua Moi pasi yake ilifutwa, Mwl Nyerere alimpa pasi (kama ilivyokuwa kwa Mbeki na Nujoma) ya kwenda Norway ili serikali ya Norway imuombee pasi ya UN ya kwenda popote duniani isipokuwa Kenya.
18. Vladimir Vladimirovich Putin alikuja Tz (Bagamoyo) akiwa na umri wa miaka 21 na kuondoka akiwa na umri wa miaka 25. Amekuja kuwa rais wa nchi yake mara mbili na katikati ya vipindi hivyo amekuwa Waziri Mkuu.
Nadhani tumekosea kama nchi kuto-document hii kama historia jadidi ambayo ingeuza nchi yetu kidiplomasia, ki-utalii wa kitafiti nk nk. Hii siyo historia ya kupuuzwa hata kidogo. Ingetupa heshima Watz kila tukanyagapo duniani.

Taswira kwa hisani ya google.