saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 4,683
- 7,222
kwa ninavyofahamu Nyerere hamkufukuza mzungu, mhindi wala mwarabu. Walioondoka waliondoka kwa hiari yao. Wahindi tena mpaka na mali zao hasa nyumba, hizi za national Housing Corporation (NHC) nyumba za katikati mjini wanazomiliki nyingi zilikuwa za wahindi. Nyerere ndio hakutakaga ubaguzi wa aina hiyo. Aliwahi kusema hata km we ni mweusi km unabagua wengine we ni kaburu tu ila tofauti na makaburu wa Afrika Kusini itakuwa ni rangi tu.Moderator naomba usifute huu Uzi sina Nia yeyote Ile ya kuwaponda au kueneza chuki dhid ya wahindi au jamii ya Asia naongea uhalisia na ukweli ambao kila mtu ana uona
Kipindi Cha azimio la Arusha wazungu wengi walifukuzwa Ila Cha ajabu wakabaki wahindi Leo hii wahindi na wakifuatiwa na warabu ndo wamekamata biashara kubwa na Wana ukwasi Mkubwa
Maajabu ya mhindi/mharabu hata nyumba ajengi Yuko tayari kuishi kwenye nyumba za NHC au kupanga kule kariakoo au upanga na kamwe hawez fanya uwekezaji wa maana hapa Tanzania
Kwa lugha nyingine hakuna faida yeyote ile nchi inayopata kutoka kwa hawa watu yaan wanatumia Tanzania kama shamba la bibi, mhindi au mharabu hata azaliwe Tanzania ataishi kama passenger kwa maisha yake yote
Suluhisho nchi isiwape tender mtu ambaye ni passenger sababu faida yeyote Ile anayoipata anaipeleka abroad hafanyi uwekezaji wowote ule, wapewe tu kama hakuna option