Nyerere alikosea sana alipokumbatia wahindi/warabu na kuwafukuza wazungu


Hata PM wa U.K Rishi familia yake ilitoka East Africa baada ya stragling familia za kihindi zilizopata baada ya Uhuru. Leo hii ni mtu mwengine kabisa.
 
Hakuna sehemu niliposema wafukuzwe
 
Mkuu mim sijafundishwa matusi kwa hiyo as long sikujui siwezi kukutukana wewe na ukoo wako, kwa sababu nikikutukana ntajiweka kundi moja la moja la wajinga na wapumbavu kama wewe
Huyo achana nane tu..hata sensa tu inayosema idadi ya wakazi wa jiji la DSM ni 5.something bado hajui... NonSense kabisa
 
Watu wanaropoka tu hata awaelewi historia ya kuingia Wahindi na waarabu tanganyika hawa watu wakienda kwenye asili yao wanalipa viza awaruhusiwi kuingia bure KISHA walitokea huko. Hawa ni watanzania wanamiliki passport za Tanzania. Walianza ujasiliamali miaka 300 iliyopita. Walikuja east africa wamekuta fursa wamezitumia
 
Watanzania ambao ni passenger hata kiswahili hawajui, mim sipingani wao kutumia fulsa, nachopinga ni serekali kuendelea kuwakumbatia Leo hii viwanda vingi hadi zile kazi mtanzania anaweza fanya anachukuliwa mhindi kutoka India ni hatari sana uchumi wako kushikiliwa na watu ambao ni passenger a.k.a wapitaji
 
Sahihi sana, Wahindi wanajua sana kuzungusha pesa ikazalisha zaidi ila wabongo wengi ni hodari wa kuzika pesa chini kwa nyumba na magari ambazo zingekuwa mtaji.

Pia Wahindi wanajua sana kurithisha biashara kutoka kizazi kimoja kwenda kingine.
Umetoka familia masikini umepata Kazi unaanza kujenga badala ya kuwekeza, then Wahindi wakikupiga gap unalalamika. Shida sio Nyerere bali ni mind set zetu.
 
Sahihi sana, Wahindi wanajua sana kuzungusha pesa ikazalisha zaidi ila wabongo wengi ni hodari wa kuzika pesa chini kwa nyumba na magari ambazo zingekuwa mtaji.

Pia Wahindi wanajua sana kurithisha biashara kutoka kizazi kimoja kwenda kingine.
Umetoka familia masikini umepata Kazi unaanza kujenga badala ya kuwekeza, then Wahindi wakikupiga gap unalalamika. Shida sio Nyerere bali ni mind set zetu.
 
Mwenye pesa ana nguvu
 
Ujamaa kwa Waafrika ulirudisha nyuma na kudidimiza sana maendeleo. Lile lilikuwa ni kosa kubwa sana ambalo madhara yake yatadumu muda mrefu sana.
 
Wahindi kule u.k, u.s, Canada au Australia hawaishi kama passenger kama wanavyoishi Tanzania wako full integrated lazima utofautishe hiki kitu

Mleta mada kinachokutesa ni Roho ya Kibaguzi dhidi ya wahindi na waarabu.

Hilo ndio tatizo kuu linalotutesa watu usi, Tuache ubaguzi tutafute maendeleo.
 
Waliofukuzwa Tanganyika mmoja mjukuu amekuwa waziri mkuu Uk
 
Ofisi ipo kariakoo ukajenge bunju au boko masaa 6 kwa siku upo barabarani una akili kweli.
Wao wanakaa juu ofisi ipo chini. Ishu ya security, ishu ya time management, ishu ya economy kuokoa gharama
Alafu wakija TRA wanakwambia mbona ofisi na makazi pamoja ukiwaelimisha wanasema unawazarau
 
Hii kitu umeandika sijui unataka kutuelimisha vipi nia ya kutoa mawaidha hapa ni kuelimishana na kufunguana macho na masikio ili tusije kupata watawala madikteta na majizi yanayotuambia kuwa Tanzania kuna makabila tafauti ili watudanganye wakati tunapigana wao wanatuibia.
 
Wote tukae posta au kariakoo patatosha kweli mbona unafikra mfu hivyo, sensa ya mwaka Jana inasema tuko million 5.2 kwa hiyo wote tukakae posta na kariakoo
Sio wote tunafanyakazi posta au kariakoo...point kila mtu aangalie urahisi wa kwenda kazini, usalama, matumizi ya muda n.k

Kama unafanya mishe zako Tegeta basi ishi maeneo ya huko huko, Tandika vilevile n.k

Sema pole mleta mada, naona watu wanatembea na wewe sio polepole

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Wote tukae posta au kariakoo patatosha kweli mbona unafikra mfu hivyo, sensa ya mwaka Jana inasema tuko million 5.2 kwa hiyo wote tukakae posta na kariakoo
umeambiwa kama mfano, haimaanishi una mini market yako Bunju ukakae kariakoo, Jamaa amemaanisha kaa karibu na mishe mishe zako, usipoteze muda barabarabi na foleni hizi,
 
Nyumba ni mfano mdogo point ni kwamba hakuna uwekezaji wowote wanaofanya hapa Tanzania Zaid ya kuchuma, Kuna utofauti Mkubwa sana kati ya mhindi na mzungu,
hivi mkuu MO, Zakaria, Bakhresa, Gsm etc hawana uwekezaji wowote? hebu fikira hata kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…