Nyerere alipenda sana chama cha CCM kuliko nchi ya Tanzania

anacholalamikia alafu baada ya hapo anarudi tena majukwaani kuendelea kulalamikia alafu unataka tukae kimya hapana
Hakuwataka "mkae kimya", ndiyo sababu aliyaelezea muyajue. Hakuawaagiza muwe vikaragosi vya kukubali mnayotendewa sasa.
 
Unafanyaje juhudi ilihali walioko madarakani wanafaidika na mfumo a.k.a katiba unadhani watakubali kirahisi
nani kasema "wakubali rahisi"?
Ndiyo maana nakushauri, badala ya kupoteza muda na hayo ya Nyerere; elekezea ngvu zako katika kuchangia harakati za mabadiliko.
Mabadililko hayatakuja kwa kumlalamikia Nyerere alichofanya wakati wake.
 
Lazima tudiscuss legacy ya Nyerere mbona akisifiwa alalamiki yaani unachukia watu wakiongea mabaya yake sasa si udikteta huo
 
Wazo la Africa moja ni wazo la hovyo, and I'm glad it will never happen.
Ujinga wake ni nini!?
Kwamba kuingia nchi jirani kwa passport ni ujanja ila mzungu anakuja free. Mwisho Nyerere anakili alikosea
 
Nyerere alikuwa binadamu kama wengine! Lakini alikuwa inteligent!
Na siyo kwamba alipokuwa Rais hakuna mabaya aliyofanya! Yapo!
Sasa kama angeruhusu mabadiliko ya Katiba yanayoruhusu Rais kushitakiwa baada ya kumaliza muda wake ,huenda Nyerere angekuwa mshitakiwa wa kwanza kwa sheria hiyo!
 
Kwa umri wako hujui hata maana ya legacy ni ajabu sana
Maana unayoijuwa wewe kuhusu hilo neno 'legacy' ni kulazimisha mambo ya enzi za zamani kwa enzi mpya?

Huwezi kamwe kuhoji 'legacy' ya Nyerere katika hivi viandishi vya kipuuzi namna hii.
 
Maana unayoijuwa wewe kuhusu hilo neno 'legacy' ni kulazimisha mambo ya enzi za zamani kwa enzi mpya?

Huwezi kamwe kuhoji 'legacy' ya Nyerere katika hivi viandishi vya kipuuzi namna hii.
Kulazimisha ilihali bado tunatumia katiba ya mwaka 1977
Unajua katiba ya mwaka 1977 ni moja ya legacy ya nyerere
 
Yeye ndo chanzo cha haya ya sasa
Sikumbuki kuwa Nyerere aliwahi kutumia 'internet' katika uhai wake wote; sasa unataka tuseme Nyerere alaumiwe kwa kutowawezesha waTanzania wa wakati wake kutumia mabadiliko hayo mapya

Mabadiliko unayoyataka wewe ni lazima yatokane na Nyerere?
 
Kulazimisha ilihali bado tunatumia katiba ya mwaka 1977
Unajua katiba ya mwaka 1977 ni moja ya legacy ya nyerere
Legacy ya Nyerere haihusiani chochote na mabadiliko yatakayotokea Tanzania kwa enzi zote.
Legacy yake inahusu yaliyofanyika wakati wake siyo nyakati zote wa uwepo wa taifa hili.

Kuna viongozi chungu nzima wataacha 'legacy' zao nyakati mbalimbali za uongozi wao.
 
Kama hujui hata katiba ya sasa ni moja ya legacy ya Nyerere basi unasafari ndefu sana kifikra
 
Ujinga wake ni nini!?
Kwamba kuingia nchi jirani kwa passport ni ujanja ila mzungu anakuja free. Mwisho Nyerere anakili alikosea

Mzungu anaingia wapi bila paspport? Nani huwa anawalisha haya matango pori?
 
Kabla hatuhapata akili Tundu Lissu aliwahi kusema kwa kuwa akili zilikuwa bado zimefungwa tulimlaumu sana
 
Watu wanafiki wa hili taifa mmojawapo ni huyo mzee. Ni kweli aliipenda ccm kuliko Tanganyika ndo maana alituuza Zanzibar ila angaunganisha Afro shirazi na Tanu kuwa ccm. Ila hakuunganisha Zanzibar na Tanganyika kuwa moja.
Kila alichofanya Mzee Nyerere kilikuwa na malengo wa kisiasa Tu kama ulivyosema aliunganisha vyama Tu😅😅
 
Lazima tudiscuss legacy ya Nyerere mbona akisifiwa alalamiki yaani unachukia watu wakiongea mabaya yake sasa si udikteta huo
Mabaya yake ni yapi; hayo ya marekebisho ya katiba wakati wake, na hakuwazuia kuendelea kufanya marekebisho kuendana na nyakati zenu?
Aliwaambia wapi msirekebishe?
 
Tanzania majority wana IQ ndogo, huenda hata katiba nzuri kama Ile ya Marekani isibadilishe mambo sana kama watu wenye akili kubwa hawatashika madaraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…