Ni ufupi buana,wapare watawazidi wakinga kwa kuchapa kazi?Sisi wapare kutokana na kuchapa kazi sana na kutengeneza barabara kubwa nzuri pana mpaka milimani nyerere alifanya ziara ya kikazi miaka ya 70 na akawaita wapare ni wachina wa Tanzania. Mpaka leo hii wapare wanajulikana kama wachina wa Tanzania.
Sabuni hadi iwe kama wembe hawatupi
Sikujua kwamba Robert Heriel ni ndugu yangu. Ila aliniudhi alipomtetea magufuli
[emoji1787][emoji24][emoji24][emoji24] shortiesALIWAITA WACHINA WA TANZANIA SABABU YA UFUPI WAO.MENGINE NI MWEMBWE.
Na yule waziri mkuu wa Upare, Cleopa David Msuya alifanya kweli huko Mwanga.Sisi wapare kutokana na kuchapa kazi sana na kutengeneza barabara kubwa nzuri pana mpaka milimani nyerere alifanya ziara ya kikazi miaka ya 70 na akawaita wapare ni wachina wa Tanzania. Mpaka leo hii wapare wanajulikana kama wachina wa Tanzania.