Nyerere aliwapenda Wapare sana kwa kuchapa kazi mpaka akawaita Wachina wa Tanzania

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Sisi wapare kutokana na kuchapa kazi sana na kutengeneza barabara kubwa nzuri pana mpaka milimani nyerere alifanya ziara ya kikazi miaka ya 70 na akawaita wapare ni wachina wa Tanzania. Mpaka leo hii wapare wanajulikana kama wachina wa Tanzania.
 
Ni ufupi buana,wapare watawazidi wakinga kwa kuchapa kazi?
 
Sisi wapare kutokana na kuchapa kazi sana na kutengeneza barabara kubwa nzuri pana mpaka milimani nyerere alifanya ziara ya kikazi miaka ya 70 na akawaita wapare ni wachina wa Tanzania. Mpaka leo hii wapare wanajulikana kama wachina wa Tanzania.
Na yule waziri mkuu wa Upare, Cleopa David Msuya alifanya kweli huko Mwanga.
 
Back
Top Bottom