Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Kwa nini Nyerere na alifanya nini kikubwa mpaka unaona ni Rais bora kwako?Nyerere
Matajiri wa kitu gani. Fafanua kidogo??Sisi ni matajiri!
Wengi wanaona Nyerere alikuwa ni "the best of the best" ila wewe unaona Mkapa ni bora kuliko yeye, KWA NINI?Mkapa akifuatiwa na Nyerere. Wamwisho Magufuli
Umetupa ubora was JK upande was kisiasa.Rais bora kwangu ni Jk..... kwasababu ni mtu anaijua na anaiishi demokrasia, rais wa ovyo ni aliemfatia alikua ni binadamu nusu.
Mkapa alitengeneza mfumo ambao unaendesha nchi mpaka sasa. Taasisi nyingi za serikali zilianza kipindi chake. Huo ni msingi wa utawala bora.Wengi wanaona Nyerere alikuwa ni "the best of the best" ila wewe unaona Mkapa ni bora kuliko yeye, KWA NINI?
Magu alikua jambazi aliyr jificha kwenye kichaka cha uzalendo. Alihakikisha kampuni yake ya mayanga inapata tenda ya chato.JPM kawaacha wote kwa mbali sana.
Kwangu Nyerere ni bora kwenye Kujenga Utaifa na Tunu za Utaifa .Kwa vyovyote vile hakuna duniani mtu mwenye uwezo wa kurekebisha Historia. Kwa ivo hawa ndiyo walikuwa marais wetu na Samia ndiye Rais wa Tanzania kwa sasa.
Kwa mtazamo wako hawa ukiwaweka kwenye mizani yupi amekuwa Rais bora kwako na kwa nini ukiangalia changamoto alizokabiliana nazo na jinsi alivyozitatua na unadhani kwamba amecha alama (Legacy) gani kwa watanzania wote.
Kama ilikua inafanya kazi vzr ,sioni tatizo.Magu alikua jambazi aliyr jificha kwenye kichaka cha uzalendo. Alihakikisha kampuni yake ya mayanga inapata tenda ya chato.
Kila mtu ana mtizamo wake. Ukisema "Aliyefuata baada ya Mwalimu Nyerere..." ni kama vile unazuia watu kuwa na mawazo yao binafsi.Ingependeza kama ungetuuliza ni nani Rais Bora aliyefuata baada Mwalimu Nyerere kuachia madaraka 1985 na si vinginevyo.