Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia, yupi Rais bora kwako?

Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia, yupi Rais bora kwako?

Kwa hiyo alikuwa muuaji pia?
Kwanza unajua ni kwa nini Hitler aliitwa Muuaji? Au unadhani wale wanaoshitakiwa kwa mauaji ya kimbari Rwanda wote walishika mapanga na kuua watu?

Jua kwanza kanuni za mchezo.
 
Hii post nimecheka Sana, wafia dini hadi leo wanamchukia nyerere. Sijui walimezeshwa sumu gani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maana kuna mmoja alisema nyerere alizuia babu zake wasisome kwa kuwa ni waislamu. Waliosoma walibatizwa kilazima. Haya ni maneno kutoka kwa mtu mzima mwenye elimu sasa hawa wenzangu na mm unafikiri watakuwaje[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa Hitler anaingiaje hapa wakati nimekuuliza la moja kwa moja lenye jibu ndiyo/hapana?
Si nimekwambia naye alishutumiwa kwa utekwaji wa Ulimboka. Au ulitaka nisema uuaji wakati Ulimboka hakuuawa!!??
 
Alikua na kosa gani kuamua kua mjamaa.zote ni sera na zimeshatumika mataifa mengine zikafanya kazi.Nyerere kwa miaka hiyo aliona ndo mrengo unaofaa kwa mtazamo wake.Basi tuseme nyerere alikosea je mbona waliofuata hadi sasa hatujui ata tuko mrengo gani.Kama bado tuko kwenye ujamaa basi nyerere alikua sahihi kwasababu tulipaswa tujue kama tumeachana na ujamaa na tuko mrengo fulani ila ni kimya kimya tu uku kaubepari uku hatueleweki.Wengine wako azimio la arusha wengine ubepari yaan bora miaka inaenda.Nyerere alifanya makosa yake lakini je waliofuata waliyarekebisha vip ili nchi iwe kwenye msingi sahihi.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Sera za kimaskini na kufilisi watu kwa chuki binafsi? Rubbish
 
Si nimekwambia naye alishutumiwa kwa utekwaji wa Ulimboka. Au ulitaka nisema uuaji wakati Ulimboka hakuuawa!!??

Ulimboka hakuuwawa alitekwa na kuteswa lakini Mwangosi aliuwawa na Polisi Iringa mwaka 2012, picha hapo chini, sasa malizia pia utekaji na uuwaji!

1666518388801.jpeg
 
Ujinga Tu kuwa mwanamke ndio exception
Wewe lunatic kichaa mkubws lijinga la nchi nzima mbwa kazk kudharau wanawake utazani umejizaa mwenyewe halafu unamadharau kama unayo hata akili wala hujitambui mjinga mmoja tu uliyekosa nguvu za kiume usituletee shida zako mkosi wewe
 
Kikwete pa mulu then Mkapa and Mwinyi

Mkapa ndiye architect wa modern economy na JK ndiye mtekelezaji wake.

Siyapendi masisiemu ila JK alijitahidi sana. Magu mtoeni hapo ni dude la havyo kupata kutokea
 
Mi nataka orodha ya maraisi wezi, wazembe na wafuga mafisadi
 
tatzo la nyerere ni kukumbatia ujamaa na kutufanya tuishi vijijin kwa lazima
 
Back
Top Bottom