Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia, yupi Rais bora kwako?

Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia, yupi Rais bora kwako?

Maraisi wote ispokuwa wale walilelea ufisadi na rushwa hadi wakawa sehemu ya hii kitu mbaya!
 
Wote wako vizuri na ndio maana tuko salama mpaka sasa.
 
Everything is relative in life!
Relativity as put by Einstein does not hold water when it comes to death, either you are dead or alive. There is no intermediate stage! Huyu aliua watu, basi hakuna relativity hapo. Hakuna anayetaka kuuawa. Beauty is relative, unaweza kuingiza concept ya relativity ikakubalika!
 
Kwa nini huwa wanatetea mtesaji wa watu na kuona kwamba walioteswa wakati ule walistahili!!??
 
Kwa vyovyote vile hakuna duniani mtu mwenye uwezo wa kurekebisha Historia. Kwa ivo hawa ndiyo walikuwa marais wetu na Samia ndiye Rais wa Tanzania kwa sasa.

Kwa mtazamo wako hawa ukiwaweka kwenye mizani yupi amekuwa Rais bora kwako na kwa nini ukiangalia changamoto alizokabiliana nazo na jinsi alivyozitatua na unadhani kwamba amecha alama (Legacy) gani kwa watanzania wote.
Mkuu,aliye bora ni mimi tu ninayeitunza familia yangu kwa akili zangu.Nisamehe mnyakwetu.
 
Relativity as put by Einstein does not hold water when it comes to death, either you are dead or alive. There is no intermediate stage! Huyu aliua watu, basi hakuna relativity hapo. Hakuna anayetaka kuuawa. Beauty is relative, unaweza kuingiza concept ya relativity ikakubalika!

Einstein anatokea wapi tena hapa? Isitoshe hakuna Kiongozi wa Tanzania isipokuwa labda Mzee Mwinyi ambapo watu hawakufa wakati wa Utawala wake, ukianzia Nyerere walikufa kila Kleruu na wengine wengi, Mkapa mauaji ya Mwembechai na Pemba hata General Kombe alipigwa risasi live na Polisi lkn aliyekuwa raisi hakuwa Magufuli, Kikwete yule Mwandishi wa Habari Mwangosi nafikiri aliitwa aliyeuliwa na Polisi cold blood Iringa na wengineo wengi tu achilia mbali Kiongozi wa madaktari aliyetekwa na kuteswa vibaya lkn wewe unaona waliokufa wakati wa Utawala wa Magufuli tu ndiyo maana nikasema kila kitu ni relative au inategemea na jinsi unavyoona, …
 
Mwinyi ambapo watu hawakufa wakati wa Utawala wake, ukianzia Nyerere walikufa kila Kleruu na wengine wengi, Mkapa mauaji ya Mwembechai na Pemba hata General Kombe alipigwa risasi live na Polisi lkn aliyekuwa raisi hakuwa Magufuli, Kikwete yule Mwandishi wa Habari Mwangosi nafikiri aliitwa aliyeuliwa na Polisi cold blood Iringa na wengineo wengi tu achilia mbali Kiongozi wa madaktari aliyetekwa na kuteswa vibaya lkn wewe unaona waliokufa wakati wa Utawala wa Magufuli tu ndiyo maana nikasema kila kitu ni relative au inategemea na jinsi unavyoona, …
1. Theory of relativity its founding scientist ni Albert Einstein!
2. 'Two wrongs don't make a right', ie you should not do harm to a person who has done harm to you, even if you think that person deserves it. or A second misdeed or mistake does not cancel the first or it is not acceptable to do something bad to someone just because they did something bad to you first (c&p)

hao uliowataja kuwa waliua hakumfanyi Jiwe kutoitwa Muuaji! hata hivyo degree ya uuaji wa Jiwe haiwezi kuilinganisha na hao ingawa wote ni mashetani kuwa waliua binadamu!
 
Kwani Magufuli anahusika vipi na hayo mauaji mnayoyasema?
Aisee. Kweli inaonesha kwamba hujui hata ilikuwaje Kleruu aliuawa. Sasa unaweza kusema enzi za Mwalimu mambo ya kupotea watu kama ilivyotokea kwa Simon Kanguye aliyekuwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Kibondo, Azor Gwanda ama Ben Saanane ambaye Kabudi alisema aliuawa yalikuwepo??
 
1. Theory of relativity its founding scientist ni Albert Einstein!
2. 'Two wrongs don't make a right', ie you should not do harm to a person who has done harm to you, even if you think that person deserves it. or A second misdeed or mistake does not cancel the first or it is not acceptable to do something bad to someone just because they did something bad to you first (c&p)

hao uliowataja kuwa waliua hakumfanyi Jiwe kutoitwa Muuaji! hata hivyo degree ya uuaji wa Jiwe haiwezi kuilinganisha na hao ingawa wote ni mashetani kuwa waliua binadamu!

Labda unachanganya neno “relative” na reletivity theory ni vitu viwili tofauti, ninaposema jambo xyz ni relative namaanisha kwamba inategemea na jinsi unavyoona au kwa maana nyingine kila mtu ana mtazamo wake ndiyo maana ya kusema jambo fulani ni relative na hakuna uhusiano wowote ule na Einstein, …
 
Aisee. Kweli inaonesha kwamba hujui hata ilikuwaje Kleruu aliuawa. Sasa unaweza kusema enzi za Mwalimu mambo ya kupotea watu kama ilivyotokea kwa Simon Kanguye aliyekuwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Kibondo, Azor Gwanda ama Ben Saanane ambaye Kabudi alisema aliuawa yalikuwepo??

Wakati wa Nyerere hata walipotea wengi zaidi kuliko kipindi kingine chochote kile wala usitake kwenda huko na kuanza kufungua makabrasha, isitoshe ninyi mnahusisha kifo cha yoyote na raisi aliyeko madarakani kama ni hivyo basi wote waliokufa pia wakati wa Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete hao maraisi walihusika pia au mnataka kutumia vipimo tofauti pale inapowanufaisha tu?
 
Back
Top Bottom