Nyerere: Wakati tunapigania uhuru wa nchi hii kanisa katoliki lilinitenga

Huyo mzee nae ndio kaharibu nchi hii angekubali mapendekezo ya Oscar kambona nchi hii isingekuwa kama leo hii

Kanisa ndiyo imeharibu nchi hii

Mzee lengo lake lilikua very positive hadi pale alipoingia kwenye mtego.wa mfumo kristo ambao unalimaliza taifa hili hadi leo
 
communism is not good, haiendani na Christianity, ndiyo maana commumist countries nyingi ni islamic …

Communism is not good while.CHINA is a new super power to be...
 
Hapo ni kama wamekuprove wrong kuwa wao TEC hawako against dini ya kiongozi. Inshort sio mada inayobeba ule ukhanithi wako wa kidini.
 
Usiaubishe uislam ionekane wote hamjaenda shule maana mwenye akili zake akisoma atakuona huna akili
 
Uislamu na communism ni vitu viwili tofauti
 
Hapo ni kama wamekuprove wrong kuwa wao TEC hawako against dini ya kiongozi. Inshort sio mada inayobeba ule ukhanithi wako wa kidini.
Udini mnao nyinyi

Na ndiyo maana nyerere hakuwa na aibu kuwachana hadharani kwenye hotuba ile

Na hizi fujo ambazo kanisa wanaleta hivi sasa hazina tija kwa kuwa sisi historia ya nchi hii tunaifaham

Kanisa alikuwa mshirika mkubwa wa mkoloni kwa hiyo huo uchungu na taifa hili hawajawahi kuwa nao
 
Usiaubishe uislam ionekane wote hamjaenda shule maana mwenye akili zake akisoma atakuona huna akili

Nakueleza mambo ambayo kwenye historia yako ya binadamu wa zamani alikuwa nyani huwezi kuambiwa unasema sijaenda shule??

Unamjua wewe mzee mshume kiyate kuwa ndie ambae alimpa nyumba nyerere na kumpa.mshahara kila.mwezi??

Unajua kuwa safari ya kwanza kwenda UN pesa alichangiwa na waislam??
 
Hiyo hotuba ipo na wala siyo jambo la siri kuwa ni kweli kanisa lilimtenga na kushirikiana na mkoloni

Kanisa siku zote ni masnitch tuh,hata huko Rwanda walisababisha Genocide
Naomba hiyo hotuba mkuu ya Nyerere akikiri kuwa kanisa lilimtenga kutokana na harakati zake za kupigania uhuru. Asante.
 
Teh teh teh

Husika na kichwa cha habari hapo juu kwanza

Uislam na waislam huwawezi,wapo all over world

mao killed 40 million chinese kuestablish communism in china, naona parallels hapa, kwa communists maisha hayana thamani hata stalin alisema “one death is a tragedy, a million death is just statistics” ….
 


Hivi huwa unaamini kuwa una akili timamu? Ungejijua akili yako inapoishia, usingekuwa unaleta haya magazeti yako yaliyojaa ujuha na uwongo.

Kama umebakia na akili japo kidogo ya kujifunzia, fahamu yafuatayo:

1. Ni kweli wakati wa miaka ya 1950, Dar es Salaam na mikoa mingi ya pwani, population kubwa ilikuwa ya waislam.
2. Waislam wa Dar, ambapo palikuwa makao makuu ya nchi, pamoja na jamii nyingine, walimwunga mkono Mwalimu Nyerere, TAA na baadaye TANU.
3. Wakristo wamisionari wakatoliki, walimuunga mkono Mwalimu Nyerere katika kutafuta uhuru, japo ni kwa kificho, kwa kuhofia wakuu wa serikali na kutokiuka miongozo ya Kanisa, kuwa hawatakiwi kujiingiza kwenye masuala ya siasa.
4. Ni wamisionari wakatoliki wa shirika la Consolata Brothers and Sisters ndio waliomnunulia Mwalimu Nyerere ticket ya ndege kwenda UN kudai uhuru.

5. Mwalimu Nyerere alipoambiwa achague kuendelea na TANU, afukuzwe uwalimu, au aachane na TANU ili aendelee na uwalimu, alienda Tosamaganga kwa wamisionari wa Mt. Consolata kuwaomba ushauri, na akaeleza kuwa kwa sababu ya familia, atalazimika kuendelea na kazi aachane na siasa.
6. Wamisionari wa Mt Consolata Tosamaganga, walimshauri mwalimu aendelee na harakati za uhuru, na wao watahudumia familia yake. Mwalimu akaacha uwalimu, Mama Maria Nyerere na wanawe wakakabidhiwa kwa masista wa Mt Consolata Tosamaganga.
7. Kupatikana kwa uhuru wa Tanganyika ilikuwa ni furaha kubwa kwa hawa wamisionari, na Padre wa Tosamaganga, wa shirika la Mt. Consolata, ndiye aliyeandaa wimbo wa Taifa, ndiyo maana ule wimbo umejaa maneno ya ibada, na tune ya nyimbo za dini.

Ni uwongo mkubwa kudai kuwa eti mwalimu alitengwa na Kanisa. Uhuru wa Tanganyika ulipiganiwa na jamii zote kwa viwango tofauti tofauti. Na hata TAA ilikuwa dhaifu sana, mpaka alipoingia Mwalimu Nyerere na kupewa uongozi. Hata hivyo huwezi kuwadharau au kuwapuuza walioanzisha harakati za kudai uhuru kwa kuanzisha chama cha TAA.
 
unatutuma sisi na ww unatetea hoja yako kwa kututuma? leta iyo hotuba hapa upesi.

Nakushangaa tuh inakuaje umeshindwa kuiskia hotuba mashuhuri kama hiyo

Fanya juhudi uitafute...usipende kupewa vitu vya bure bure...mimi sina haja ya kuprove chochote wenye uelewa wanajua uhalisia wa hiki ninachokisema
 
Hiyo hotuba ipo na wala siyo jambo la siri kuwa ni kweli kanisa lilimtenga na kushirikiana na mkoloni

Kanisa siku zote ni masnitch tuh,hata huko Rwanda walisababisha Genocide


Mwongo mkubwa wewe! Kwa Tanganyika, kanisa Katoliki lilifadhili shharakati za uhuru, kwa kificho. Ndiyo maana hata familia ya Mwalimu ilipelekwa Tosamagamga baada ya Mwalimu Nyerere kuamua kuacha uwalimu.

Ina maana BIG SHOW huna akili hata ndogo tu ya kufanya logical analysis? Yaani Kanisa limtenge Nyerere, halafu tena liichukue familia yake ili Nyerere awe huru kupambania uhuru!!
 

Teh teh teh

Unaongea story za kutunga ili kuukataa ukweli na ndiyo kawaida yenu

Ticket ya kwenda UN nyerere alichangiwa na wazee wale wa Dar es salaam

Hiyo habari ya Tosamaganga umeizua kutoka wapi...

Harakati za uhuru mikao ambayo ilikua kitovu inafahamika

Na kanisa siku zote limekuwa linanufaika na shule ,hospitals na miundombinu mbali mbali ya mkoloni hakuna siku walithubutu kumpinga mkoloni kwa wazi au kwa siri.
 
Kanisa katolik lilikuwa chini ya Wazungu kama ilivyo enz za utumwa , misikiti ilitumika kama mapumziko wawindaji wa watumwa
 

Nyerere anasema mwenyew alipewa nyumba na hifadhi ikiwa ni pamoja na kulipwa mshahara na mzee mshume kiyate

Na familia yale ilikua dar es slaam kipindi anafundisha pugu

Hayo mambo ya Tosamaganga unayajua wewe...

Kanisa lisingeweza msaidia nyerere na ndiyo maana hata kazi ilimfukuza

Kanisa ni mnufaika wa mfumo wa ukoloni kisha hapo hapo lishiriki kuuondoa??

ZINACHAJI KWELI????....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…