THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,873
- 15,267
- Thread starter
- #41
Kanisa katolik lilikuwa chini ya Wazungu kama ilivyo enz za utumwa , misikiti ilitumika kama mapumziko wawindaji wa watumwa
Low profile
Kanisa katolik lilikuwa chini ya Wazungu kama ilivyo enz za utumwa , misikiti ilitumika kama mapumziko wawindaji wa watumwa
Kipindi hicho RC ilikuwa chini ya mabeberu hivyo isingekuwa rahisi kumuunga mkono.
Ova 😎.
Ukiona watoto wanajamba ushuzi unaonuka saaaaanaaaa ujue wamekinai kula Maharage,
mshua badilisha diet aiseee!
😁😁
Uvccm unazidi kumdhalilisha mwenyekiti wako.Friends and Our Enemies,
Katika hotuba yake mashuhuri ya mwaka 1985 ambayo hivi sasa imeachwa kuwekwa katika mfululizo wa hotuba za Mwalim Nyerere amekuwa anakiri kwa kinywa chake namna gani ambavyo kanisa katoliki lilimtenga kiasi cha kufikia kuacha au kuachishwa kazi ya ualimu pugu sekondari.
Nyerere alipoanza safari yake ya kufundisha St Mary Tabora na hatimae kuondoka na kwenda scotland alikiacha chama cha Taa tabora kikiongozwa na wazee wa kiislam kama Maulidi kivunga,Hamisi nyanya na Mzee Chamng'anda usingizi.
Baada ya kuondoka na kwenda kusoma aliporudi hakurudi tena tabora na badala yake akarudia Dar es salaam na kuanza kufundisha Pugu Sekondari.
Ni mwaka 1952 nyerere akiwa anasomesha pugu sekondari alipofuatwa na joseph kaselabantu na kisha kwenda kutambulishwa kwa wazee wa dar es salaam kipindi hicho wakiwa na chama chao cha TAA ofisi zilizokuwapo Lumumba New street.
Joseph kaselabantu alikuwa anakumbuka kuwa nyerere alishaungwa kwenye chama cha TAA na wale wazee wa tabora na ndiyo maana alimkumbuka na kumleta kwa wazee wa TAA ofisini kwao na kuwakuta wazee kama Mshume Kiyate,Jumbe Tambaza ambae alitoa hadi jengo au ardhi ilipojengwa tambaza high school,Haidari Mwinyimvua na Suleimani Takadiri.
Tangu hapo nyerere akawa chini ya wazee wale wa kiislam wakimlea kama kijana wao.
Akiwa na safari ya kwenda tabora kwa harakati za uhuru nyumba aliyopewa kufikia ni ya Halima Bint Chande,bodigadi wake akiwa ni Ramadhani Singo,Mpishi wake akiwa ni Japhary Idd na hao wote waliapishwa kiapo msitini na kushikishwa msahafu kuwa daima hawawezi kuthubutu kumdhuru nyerere.
Gari ambalo alikua anatumia kwenye harakati za uhuru Tabora ni la Bilal Rehan Waikela.
Ukipita kote huko huwezi kuta jina la mkristo hata mmoja isipokuwa wachache waliojitoa muhanga kama John Rupia,Joseph Kaselabantu na Vedastus Kyaruzi.
Akiwa dar es slaam mtu wa kwanza kutoa gari kumpa nyerere katika harakati za Tanu za kupigania uhuru ni Dosa Azizi watoto wa mtoni kwa Azizi Ally.
Nyumba ambayo alikuwa anaishi akiwa Dar es salaam alipewa na mfanyabiashara mkubwa wa soko la samaki feri Mzee Mshume kiyate na ndiyo pekee alikuwa kila mwezi anampa mshahara nyerere baada ya kufukuzwa na kanisa pugu seminari kwa kushiriki kwake harakati za kumpinga mkoloni na hao wazee wa kiislamu.
Wazee hao waliyafanya mengi ikiwa ni pamoja na kutoa mali zao,nyumba zao,viwanja vyao ili kupigania uhuru wa nchi hii tena siyo kwa lengo la kusimamisha dola ya kiislam la hasha bali ni kwa kutafuta uhuru na haki za watanzania kutoka kwa makucha ya wakoloni ambao kanisa lilikua ni mshirika wao.
Kwenye hotuba hiyo anakiri kwa kinywa chake ni namna gani kanisa lilishiriki kurudisha nyuma harakati za uhuru ambapo hivi sasa kanisa hili eti linajinasibu kuwa ni wanaharakati wa kutafuta haki nchini hapa kwa kushabikia uvunjifu wa amani na vurugu na kutaka kuipangia serikali nini cha kufanya ikiwemo na kuwabeza waislam na mchango wao.
Tunaliuliza kanisa,uchungu na nchi hii wameutoa wapi na wameanza lini??walikuwa wapi kipindi cha ukoloni wakati wanaume wanapigania uhuru wa nchi hii hadi leo waje kujitia kimbele mbele na kutaka wao wawe na hati miliki ya kulisemea taifa hili??
HONGERA SANA RAIS SAMIA KWA KUWAUMBUA NA KUWASHIKISHA ADABU KWA HOTUBA YAKO YA JANA NA WAKAE WAKITAMBUA ZAMA ZILE ZA KUTAKA WAO WAIENDESHE SERIKALI ZIMESHAPITA,WAO NA MWAMPOSA WAKO SAWA,WAO NA MZEE WA UPAKO WAKO SAWA,WAO NA.MADHEHEBU MENGINE WAKO SAWA NA KWAMBA KAZI YAO NI KUHUBIRI DINI NA SIYO KUINGILIA SIASA NA KUIPA AMRI SERIKALI.
Hakinihusu bob take your Fckn ass out of Dudes bitch!Husika na kichwa cha habari pale juu
Uvccm unazidi kumdhalilisha mwenyekiti wako.
wanawatuma kuandika ujinga wakizan wanatatua matatizo kumbe ndo wanakuza matatizoKanisa ndiyo imeharibu nchi hii
Mzee lengo lake lilikua very positive hadi pale alipoingia kwenye mtego.wa mfumo kristo ambao unalimaliza taifa hili hadi leo
Hakinihusu bob take your Fckn ass out of Dudes bitch!
hayo ndo yanabariki utekaj na mauaji ya watu wema ?Nyerere anasema mwenyew alipewa nyumba na hifadhi ikiwa ni pamoja na kulipwa mshahara na mzee mshume kiyate
Na familia yale ilikua dar es slaam kipindi anafundisha pugu
Hayo mambo ya Tosamaganga unayajua wewe...
Kanisa lisingeweza msaidia nyerere na ndiyo maana hata kazi ilimfukuza
Kanisa ni mnufaika wa mfumo wa ukoloni kisha hapo hapo lishiriki kuuondoa??
ZINACHAJI KWELI????....
wanawatuma kuandika ujinga wakizan wanatatua matatizo kumbe ndo wanakuza matatizo
Narudia tena , hata misikiti iliwai kutumika kuhifadhia watafuta watumwaLow profile
Wanasema ukweli si kuiamrisha serikali. Lini umeshaona TEC imewashikia fimbo au bunduki Viongozi wa serikali.Sawa sawa
Basi kama ni hivyo wapunguze shobo sisi tunajua wao ni vibaraka wa ukoloni na hawana uchungu wowote na taifa hili
Hawana haki ya kuipa amri serikali
hayo ndo yanabariki utekaj na mauaji ya watu wema ?
Bigi bwana, huoni kuwa nao wazee wa kiislam walikuwa wanataka kumng'oa mkristo? Ambaye ni mkoloni. Hivi kama sio Kaselabantu, hao wazee wangemjua tena Nyerere ambaye alishaamua kushika lake? Hata kama asingeacbishwa anveacha kutokan na mvingano wa maslahi. Huwezi kumpinga mkoloni na wakati huo unafanya kazi kwake.
Palikuwa na hoja ya msingi sana hapo ambayo mnataka kuipindisha
Hahahaha,baada ya kuwaona ni wajinga wajingaBaadae akawageuka waislamu vibaya sana.....
Wanasema ukweli si kuiamrisha serikali. Lini umeshaona TEC imewashikia fimbo au bunduki Viongozi wa serikali.
hayo yanahararisha haya ?Mzee mshume kiyate ulikua unamjua kuwa ndie alimpa nyumba nyerere na kumlipa mshahara wake kila mwezi baada ya kanisa kumfukuza pugu.?
Unajuwa kuwa Mzee Dosa Azizi ndie alimpa gari nyerere atumie kwenye harakati za tanu za kudai uhuru..??
Unamjua bibi titi mohamed wewe