Nyerere: Wakati tunapigania uhuru wa nchi hii kanisa katoliki lilinitenga

kuacha au kuachishwa kazi ya ualimu pugu sekondari.
Sema kabisa kipindi hicho ilikua shule ya Kanisa... waelekeze Mashekhe ubwabwa kwamba Nyerere kabla ya kua rais alikua muajiriwa wa Wakatoriki katika moja wapo ya Shule za Kikatoriki.. km Mwalimu wa Uraia na Siasa
 
Katika hotuba yake nyerere anasema

Kanisa lilimtenga kupigania uhuru kwahiyo kwa sasa hawana justification yoyote ya kuisumbua serikali
Wacha kubwabwaja uongo, uzushi, fitna, ulaghai, uzandiki hapa, weka video ya hiyo hotuba ya Nyerere hapa tusikilize
 
Naona uko shocked siyo

Huamini ulichokiskia

Baadae tutakuletea namna kanisa lilivyodhulumu mradi ya kujenga barabara kusini na kupeleka pesa ya mfadhili KUWAIT FUND kujenga hospital ya bugando

Tunayo mengi sana
Fanya uiweke hii
 
Wacha kubwabwaja uongo, uzushi, fitna, ulaghai, uzandiki hapa, weka video ya hiyo hotuba ya Nyerere hapa tusikilize
We unawaza video tu, unadhani dunia ilikua ya video video kama leo,hii inaonesha we ni gen z,msiokua na akili
 
Kanisa katolik lilikuwa chini ya Wazungu kama ilivyo enz za utumwa , misikiti ilitumika kama mapumziko wawindaji wa watumwa
Hizi dini zenu hizi
Dini zinashiriki katika uovu lakini Bado mnaziabudu !!?

🤣🙌🙌
 
Kwahiyo kama walimtenga inajustify Kwasasa pia wasikemee ukandqmizaji na ukiukwaji wa Sheria?
Pia wasupport watu kupelekwa mortuary ilhali bado wapo hai?

Hivi huko mashuleni mkienda somea ujinga?!
😁😁
 
Ooooh "Uhuru wa Tanganyika umeletwa na Waislamu, ila Nyerere hakutambua mchango wao baada ya hapo" , mbona na nyie kule Zanzibar mnajisahaulisha kuhusu mchango wa Field Marshal John Okello? Bloody fucken nyie.
😁😁🤣 Mtatoana roho

Yaani watu mnahadaika na hizi dini za kuletwa mnasahau utaifa wenu ndio jambo la kutuunganisha

Dini ni meaningless maana ni kitu ambacho mtu anaamuliwa kukifuata Kwa kupitia Kwa wazazi wake ndio Wana mrithisha Imani na sio Kwa kuamua yeye binafsi bad enough katika JAMII zetu ukifanya utafiti Kwa kina kutokana na muingiliano ulipo wa kitamaduni baina yetu lazima utakuta katika Koo zetu tuna ndugu wakristo na waislam so mnataka tuwachukie ndugu zetu kisa tu tunapishana katika itikadi za kidini !?? .

Ujinga sana
 
Friends and Our Enemies,

Katika hotuba yake mashuhuri ya mwaka 1985 ambayo hivi sasa imeachwa kuwekwa katika mfululizo wa hotuba za Mwalim Nyerere amekuwa anakiri kwa kinywa chake namna gani ambavyo kanisa katoliki lilimtenga kiasi cha kufikia kuacha au kuachishwa kazi ya ualimu pugu sekondari.

Nyerere alipoanza safari yake ya kufundisha St Mary Tabora na hatimae kuondoka na kwenda scotland alikiacha chama cha Taa tabora kikiongozwa na wazee wa kiislam kama Maulidi kivunga,Hamisi nyanya na Mzee Chamng'anda usingizi.

Baada ya kuondoka na kwenda kusoma aliporudi hakurudi tena tabora na badala yake akarudia Dar es salaam na kuanza kufundisha Pugu Sekondari.

Ni mwaka 1952 nyerere akiwa anasomesha pugu sekondari alipofuatwa na joseph kaselabantu na kisha kwenda kutambulishwa kwa wazee wa dar es salaam kipindi hicho wakiwa na chama chao cha TAA ofisi zilizokuwapo Lumumba New street.

Joseph kaselabantu alikuwa anakumbuka kuwa nyerere alishaungwa kwenye chama cha TAA na wale wazee wa tabora na ndiyo maana alimkumbuka na kumleta kwa wazee wa TAA ofisini kwao na kuwakuta wazee kama Mshume Kiyate,Jumbe Tambaza ambae alitoa hadi jengo au ardhi ilipojengwa tambaza high school,Haidari Mwinyimvua na Suleimani Takadiri.

Tangu hapo nyerere akawa chini ya wazee wale wa kiislam wakimlea kama kijana wao.

Akiwa na safari ya kwenda tabora kwa harakati za uhuru nyumba aliyopewa kufikia ni ya Halima Bint Chande,bodigadi wake akiwa ni Ramadhani Singo,Mpishi wake akiwa ni Japhary Idd na hao wote waliapishwa kiapo msitini na kushikishwa msahafu kuwa daima hawawezi kuthubutu kumdhuru nyerere.

Gari ambalo alikua anatumia kwenye harakati za uhuru Tabora ni la Bilal Rehan Waikela.

Ukipita kote huko huwezi kuta jina la mkristo hata mmoja isipokuwa wachache waliojitoa muhanga kama John Rupia,Joseph Kaselabantu na Vedastus Kyaruzi.

Akiwa dar es slaam mtu wa kwanza kutoa gari kumpa nyerere katika harakati za Tanu za kupigania uhuru ni Dosa Azizi watoto wa mtoni kwa Azizi Ally.

Nyumba ambayo alikuwa anaishi akiwa Dar es salaam alipewa na mfanyabiashara mkubwa wa soko la samaki feri Mzee Mshume kiyate na ndiyo pekee alikuwa kila mwezi anampa mshahara nyerere baada ya kufukuzwa na kanisa pugu seminari kwa kushiriki kwake harakati za kumpinga mkoloni na hao wazee wa kiislamu.

Wazee hao waliyafanya mengi ikiwa ni pamoja na kutoa mali zao,nyumba zao,viwanja vyao ili kupigania uhuru wa nchi hii tena siyo kwa lengo la kusimamisha dola ya kiislam la hasha bali ni kwa kutafuta uhuru na haki za watanzania kutoka kwa makucha ya wakoloni ambao kanisa lilikua ni mshirika wao.

Kwenye hotuba hiyo anakiri kwa kinywa chake ni namna gani kanisa lilishiriki kurudisha nyuma harakati za uhuru ambapo hivi sasa kanisa hili eti linajinasibu kuwa ni wanaharakati wa kutafuta haki nchini hapa kwa kushabikia uvunjifu wa amani na vurugu na kutaka kuipangia serikali nini cha kufanya ikiwemo na kuwabeza waislam na mchango wao.

Tunaliuliza kanisa,uchungu na nchi hii wameutoa wapi na wameanza lini??walikuwa wapi kipindi cha ukoloni wakati wanaume wanapigania uhuru wa nchi hii hadi leo waje kujitia kimbele mbele na kutaka wao wawe na hati miliki ya kulisemea taifa hili??

HONGERA SANA RAIS SAMIA KWA KUWAUMBUA NA KUWASHIKISHA ADABU KWA HOTUBA YAKO YA JANA NA WAKAE WAKITAMBUA ZAMA ZILE ZA KUTAKA WAO WAIENDESHE SERIKALI ZIMESHAPITA,WAO NA MWAMPOSA WAKO SAWA,WAO NA MZEE WA UPAKO WAKO SAWA,WAO NA.MADHEHEBU MENGINE WAKO SAWA NA KWAMBA KAZI YAO NI KUHUBIRI DINI NA SIYO KUINGILIA SIASA NA KUIPA AMRI SERIKALI.
Huyo Nyerere hata msiwe mnamtaja Kabisa maana ninyi wanaharamu hamna legitimacy walla morals alizokuwa nazo Nyerere ,ninyi ni vibaka wauaji washenzi msio na maadili wala uhalali wa kuongoza hii nchi .Ha ta huyo Nyerere angrkuwepo Leo hii angekuwa mpinzani namba Moja wa ushenzi wenu mnaofanya na bila Shaka mngemteka na kumpoteza
 
Hao kobazi hakuna chochote walichofanya, weka clip hiyo tuone anavyosema kuwa alitengwa na kobazi njaa ambao elimu pekee waliyokuwa nayo ni ya kuswali mara tano huku wakisugua vichwa kwa bidii kutengeneza kovu la sugu ya utosi to justify their being semi-Arabs. Kushawishi Wazungu bila kuwa na elimu ya kuweza kushindana kwa hoja(kobazi mpaka leo ni waoga wa hilo) ndiyo maana Samuya anaua kila anayekuja na hoja mbadala.
Ukishaweka hiyo link ufahamishwe alivyokuwa akiongozwa na Cardinal Ruganbwa(RIP) every step of the way.
NB: Those this shit is as irrelevant as any blood old story of no importance in the current political environment but we're gonna educate you kobazi.
 
We pimbi unatumia matako? Miaka hiyo hakuna video?
Tazama gen z ulivyo pumbavu,nani kasema hapakua na video!?.. uelewa wenu ukoje!?..1985 video tz zilirekodiwa kwenye reels za cinema 📽️,nenda TBC wakupe hizo reels
 
Back
Top Bottom