Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 10,791
- 23,561
Uzi Upi huo?Daaah ππππππmi nilijichanganya kuna uzi unaweza kuona umepoa kumbe mule kina mabishano ya chini chini..
Siku nimeingia zangu aaaah kwanza nilipewa somo hilo nikajiona mi mweupe...
Kukaa kidogo akaja mwingine mpinzani nae akanipa somo nikabaki dilema..
Unabishana na watu ID zao wameweka jezi tu yaan majamaa mpaka nikawa nawauliza nyie mmefunga au maana sio wakienda kula yaani hap wanatuma picha mara maesabu mara hiki mara kile nikaona oooh ..
Huo uzi upo na sasa hv ukitaka kuona watu wapo we nenda ka comment kitu chochote uone hao majamaa
Kwann tusifunge madameYaani tangu yule Platinum member anichangie milioni 3, naona Platinum members wote wa kiume humu Jf ni wastaarabu na wapole.
Wadada, msifunge Pm zenu.
Nenda kule jamii intelligent utauona wanaita prove dunia ni tambalale sijuiUzi Upi huo?
Kabisa kabisa.Alikupa kama msaada bila rejesho lolote?
Hongera kwake kwa kuwa na moyo wa kusaidia wengineKabisa kabisa.
Alinisaidia kama muhitaji.
Awali nilidhani huenda anafanya utani, ila muamala ulipoingia nikaona kweli watu wenye mioyo ya kusaidia wengine wapo Jf.
Niliomba kumrejeshea kama ningepata, ila akasema amenipa bila kurudisha hata thumni.
Alisema alitoa kama shukrani.
Ma Mshuza umesikia na hii million million zinamwagika humu humu JF sasa wewe kaa kizembe zikupite kushotoYaani tangu yule Platinum member anichangie milioni 3, naona Platinum members wote wa kiume humu Jf ni wastaarabu na wapole.
Wadada, msifunge Pm zenu.
Mqmbo ni fayaaa mamiiiWapojeπ
Huyu ni mimi kabisa ingawa sina Platinum membershipKabisa kabisa.
Alinisaidia kama muhitaji.
Awali nilidhani huenda anafanya utani, ila muamala ulipoingia nikaona kweli watu wenye mioyo ya kusaidia wengine wapo Jf.
Niliomba kumrejeshea kama ningepata, ila akasema amenipa bila kurudisha hata thumni.
Alisema alitoa kama shukrani.
Sijaelewa msanii gani huyo tena anataka kuimba usiku huu kwenye stage?Mqmbo ni fayaaa mamiii
Yaani Hadi Siyo powa ...
Picha linaanza.. tunaingia Stadium ... Kabla ya kufika kwa pitch ... Kaneel down ... Kwa stage she wanna sing hallelujah.. grab a mic na performance imeanza... ..
Gadeim ...
Acha niishie hapa ...
KENZYKuna uzi watu walibishana siku 3 mfululizo, halafu watu wenyewe wawili tuπππΉ
Kuna jamaa mmoja ni nguli wa kuanzisha habari za Yanga na Simba, mwanzo nilikuwa namuogopa sana, ila kwasasa naona kama amepoa.
Na dogo mwingine ni Kenzy, yeye sio mkorofi ila majibu yake mkato mkato.
Kimya kimya ..Kila. Kitu kimya kimyaMwanaume lazima uwike na ujimwambafai
Sio wewe!Huyu ni mimi kabisa ingawa sina Platinum membership
Ukiwa mpole sana unadharaulikaKimya kimya ..Kila. Kitu kimya kimya