Nyie wafuasi wa Tundu Lissu

U.S.A baby acha umbea nakingereza chako kingi
 
Wanachopendea kwa Lissu ni ule uropokaji wake tu.

Ili mradi katika kuropoka huko anakuwa anawasema CCM au Mbowe, hata kama uongo, wao watameza kila kitu na kummwagia sifa tele.
Sawa anaropoka mbona hamna hoja yake inayojibiwa kwa usahihi na Mbowe,Mbowe akiongea ni bla bla tu hakuna majibu sahihi
 
Halafu yeye anapanda ndege anaenda alkoolew nyinyi mnabaki kupigana huyo siyo kiongozi kichani hakuk sawa
 
Kwa Lissu hamtopata kiongozi.

Mtapata mwanaharakati tu.

Drama hazitoisha.

But have at it coz I’m loving it 😀.
We naye huna logic wa hoja.

Anza kufanya distinguish btn Kiongozi na Mwanaharakati,

Akina Nelson Mandela walikuwa wanaharakati,
Fidel Castro,Kwame Nkurma, same case hata Nyerere, badae wakawa good leaders tu

#Toa upumbavu wako na uchawa.
 
Time will tell.
 
Nimeangalia interview ya Mbowe.

I must say he acquitted himself very admirably.

He was cool, calm, and collected. Never called anyone outside of their name.
Alisema lissu anataka mabalozi "wasimamie" uchaguzi wakati Lissu alisema mabalozi wawe "waangalizi". One of many lies innit ila kisa aliongea kistaarabu basi anaonekana mkweli? Hivi kweli Mbowe hana anachonufaika na chadema hadi aking'ang'anie?

Kingine hakusema CHOCHOTE juu ya anachokusudia kufanya akipewa uenyekiti. Yaani no plans, no strategies ni business as usual sasa ametupa sababu gani ya kuendelea na uenyekiti?

That man is a sold out itakuja kuwa realised when it's too late
 
Great narrative mkuu Nyani Ngabu !!! Hawa watu wamekuwa obsessed sana na TAL. Nahofu wengi watapata sonona baada ya tarehe 21/01
 
Halafu yeye anapanda ndege anaenda alkoolew nyinyi mnabaki kupigana huyo siyo kiongozi kichani hakuk sawa
We ndo mshenzi kabisa ,Tundu lissu taked 33 bullets na Bado hajaogopa aja acha siasa,

Wee sisimizi akiingia ndani kwenu wote mnajifungia,

ACHA UJINGA
 
Mkuu si uandike tu kiswahili mwanzo mwisho?
 
Mimi sio mfatiliaji wa siasa ila hata vichwa vya nyuzi za humu ndo vinaonyesha kuna watu Lisu kawashika akili mpaka wanashindwa kufikiri sawasawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…