Immortal Techniques
JF-Expert Member
- Aug 9, 2023
- 262
- 409
Sasa kama hufatilii umejuaje lissu kawashikia watu akili,Mimi sio mfatiliaji wa siasa ila hata vichwa vya nyuzi za humu ndo vinaonyesha kuna watu Lisu kawashika akili mpaka wanashindwa kufikiri sawasawa
Watanzania wengi wanaishi na kufikiri kwa mkumbo tu kama nyumbu. Siasa wanaichukulia Kama mchezo wa kombolela tu.Kwa Lissu hamtopata kiongozi.
Mtapata mwanaharakati tu.
Drama hazitoisha.
But have at it coz I’m loving it [emoji3].
Shida yako wewe ni ukabila na kumshabikia an evil man Magufuli na upumbavu wake kumuua Saanane.Hii vita ya wenyewe kwa wenyewe inayoendelea ndani ya CHADEMA mimi naifurahia saaana.
Naombea isiishe. Nataka iendelee ili tuyajue mauchafu yao….kutekana, kuumizana, kudanganya, kuzusha, na mauchafu chafu mengine ambayo wamekuwa wakiyaficha huku wakijifanya ni watu wema sana walio na maadili mema.
Sasa, nije kwa hawa wafuasi wa Tundu Lissu, hususan hawa wa humu JF.
You people are mindless bots in human form.
You are in your own little echo chamber. You just blindly conform while waxing lyrical about how great your Dear Leader is.
Tundu Lissu ni kichwa. Lissu hamung’unyi maneno. Lissu hakopeshi. Usiombe kujikuta uko upande tofauti na Lissu, n.k.
Really? Seriously? That’s what we’re doing now?
You swallow all his BS and are too quick to ridicule those of us who dare question what comes out of his mouth!
Where is your free thinking?
Mmejitengenezea cult of personality. Lissu ndo kawa mungu wenu. Chochote atachofanya na kusema, mtashangilia tu.
Kesho akisema hagombei tena uenyekiti wa chama, mtampongeza na kumuunga mkono atakayemuunga mkono yeye, hata ikiwa ni Freeman Mbowe.
You are so far up your own fundaments.
Disgusting 🤮.
Mtu kazi yake huko ughaibuni ni kusafisha vinyeo vya vizee vya kizungu utafikiri atakuwa na akili,akindika vi slang vyake vya kukariri anajiona yeye anajua kila kituThread nyingine bana, wala sielewi huyu author wa hii thread anataka nini. Kuwaita watu ati wafuasi wa Tundu Lisu, wewe mfuasi wa nani?
Mtajuaje kuwa analelewa na vibabu vya kizungu huko ughaibuni?Mkuu si uandike tu kiswahili mwanzo mwisho?
Ila hapo mwisho umechapia kidogo..ungepata kaelimu kidogo cha mass or herd immunity usingemtaja magu..alichokifanya magu ndio kinachokufanya leo unaongea hayo ya covid.With due respect....Lissu sio malaika..ila kwa kinachoendelea leo ni wazi Freeman ameharibu sana jitihada za wenzake...kawazunguka kwa kipindi kirefu..usisahau kuna watu walipoteza maisha...huu ni unyama mbaya sana...
Kama ilivyo kwa JPM ambae alipinga Covid-19 huku watu wakiangamia...
🚮🚮🚮Hii vita ya wenyewe kwa wenyewe inayoendelea ndani ya CHADEMA mimi naifurahia saaana.
Naombea isiishe. Nataka iendelee ili tuyajue mauchafu yao….kutekana, kuumizana, kudanganya, kuzusha, na mauchafu chafu mengine ambayo wamekuwa wakiyaficha huku wakijifanya ni watu wema sana walio na maadili mema.
Sasa, nije kwa hawa wafuasi wa Tundu Lissu, hususan hawa wa humu JF.
You people are mindless bots in human form.
You are in your own little echo chamber. You just blindly conform while waxing lyrical about how great your Dear Leader is.
Tundu Lissu ni kichwa. Lissu hamung’unyi maneno. Lissu hakopeshi. Usiombe kujikuta uko upande tofauti na Lissu, n.k.
Really? Seriously? That’s what we’re doing now?
You swallow all his BS and are too quick to ridicule those of us who dare question what comes out of his mouth!
Where is your free thinking?
Mmejitengenezea cult of personality. Lissu ndo kawa mungu wenu. Chochote atachofanya na kusema, mtashangilia tu.
Kesho akisema hagombei tena uenyekiti wa chama, mtampongeza na kumuunga mkono atakayemuunga mkono yeye, hata ikiwa ni Freeman Mbowe.
You are so far up your own fundaments.
Disgusting 🤮.
Kaka Jerome a.k.a Nyani Ngabu Wafuasi wa Lissu, ukiwaskiza kwa Makini wanataka "mtu wa kuwaambia la kufanya" kwa kifupi "fujo" tofauti na Mbowe ambaye ni Charismatic na anaskiza na ndio maana alikwenda Ikulu kwa maridhiano.Hii vita ya wenyewe kwa wenyewe inayoendelea ndani ya CHADEMA mimi naifurahia saaana.
Naombea isiishe. Nataka iendelee ili tuyajue mauchafu yao….kutekana, kuumizana, kudanganya, kuzusha, na mauchafu chafu mengine ambayo wamekuwa wakiyaficha huku wakijifanya ni watu wema sana walio na maadili mema.
Sasa, nije kwa hawa wafuasi wa Tundu Lissu, hususan hawa wa humu JF.
You people are mindless bots in human form.
You are in your own little echo chamber. You just blindly conform while waxing lyrical about how great your Dear Leader is.
Tundu Lissu ni kichwa. Lissu hamung’unyi maneno. Lissu hakopeshi. Usiombe kujikuta uko upande tofauti na Lissu, n.k.
Really? Seriously? That’s what we’re doing now?
You swallow all his BS and are too quick to ridicule those of us who dare question what comes out of his mouth!
Where is your free thinking?
Mmejitengenezea cult of personality. Lissu ndo kawa mungu wenu. Chochote atachofanya na kusema, mtashangilia tu.
Kesho akisema hagombei tena uenyekiti wa chama, mtampongeza na kumuunga mkono atakayemuunga mkono yeye, hata ikiwa ni Freeman Mbowe.
You are so far up your own fundaments.
Disgusting 🤮.
Shida nyingine ni kuwa wanadhani wako peke yao. Unawezaje kusema " no reforms, no elections" wakati kuna vyama zaidi ya 10 ambavyo viko eager kushiriki. Mwenyekiti Lissu atakaposusia uchaguzi, ACT-WAZALENDO wataziba pengo. Uchaguzi utafanyika, leader of the opposition atakuwa Zitto. CUF, NCCR na Chaumma wote watakuwa na wabunge na madiwani. CDM watabaki kulalamika Clubhouse.Hii vita ya wenyewe kwa wenyewe inayoendelea ndani ya CHADEMA mimi naifurahia saaana.
Naombea isiishe. Nataka iendelee ili tuyajue mauchafu yao….kutekana, kuumizana, kudanganya, kuzusha, na mauchafu chafu mengine ambayo wamekuwa wakiyaficha huku wakijifanya ni watu wema sana walio na maadili mema.
Sasa, nije kwa hawa wafuasi wa Tundu Lissu, hususan hawa wa humu JF.
You people are mindless bots in human form.
You are in your own little echo chamber. You just blindly conform while waxing lyrical about how great your Dear Leader is.
Tundu Lissu ni kichwa. Lissu hamung’unyi maneno. Lissu hakopeshi. Usiombe kujikuta uko upande tofauti na Lissu, n.k.
Really? Seriously? That’s what we’re doing now?
You swallow all his BS and are too quick to ridicule those of us who dare question what comes out of his mouth!
Where is your free thinking?
Mmejitengenezea cult of personality. Lissu ndo kawa mungu wenu. Chochote atachofanya na kusema, mtashangilia tu.
Kesho akisema hagombei tena uenyekiti wa chama, mtampongeza na kumuunga mkono atakayemuunga mkono yeye, hata ikiwa ni Freeman Mbowe.
You are so far up your own fundaments.
Disgusting 🤮.
Wakati hao watu wanapoteza maisha Lissu alikuwa wapi.With due respect....Lissu sio malaika..ila kwa kinachoendelea leo ni wazi Freeman ameharibu sana jitihada za wenzake...kawazunguka kwa kipindi kirefu..usisahau kuna watu walipoteza maisha...huu ni unyama mbaya sana...
Kama ilivyo kwa JPM ambae alipinga Covid-19 huku watu wakiangamia...
Sisi sio wajinga. Tulitangaza kumpinga Mbowe kabla hata hajatangaza hadharani kugombea. Tunajua kwanini anataka sana uenyekiti wa chama awamu hii na tunajua kwanini Lissu aliamua kugombea. Usijekudhani kuwa kuna siku itatokea nimuunge mkono Mbowe akiwa mwenyekiti baada ya uchaguzi wa mwezi huu.
Anayeona uongo akanushe. Sisi tupo tunasikiliza pande zote(Street court)Wanachopendea kwa Lissu ni ule uropokaji wake tu.
Ili mradi katika kuropoka huko anakuwa anawasema CCM au Mbowe, hata kama uongo, wao watameza kila kitu na kummwagia sifa tele.
Kipindi Cha nyuma nilidhani una akili timamu na exposure inakubeba kumbe debe tupuNimeangalia interview ya Mbowe.
I must say he acquitted himself very admirably.
He was cool, calm, and collected. Never called anyone outside of their name.
Acha kupiga ramli Lissu ndio mwenyekiti mpya wa chamaHii vita ya wenyewe kwa wenyewe inayoendelea ndani ya CHADEMA mimi naifurahia saaana.
Naombea isiishe. Nataka iendelee ili tuyajue mauchafu yao….kutekana, kuumizana, kudanganya, kuzusha, na mauchafu chafu mengine ambayo wamekuwa wakiyaficha huku wakijifanya ni watu wema sana walio na maadili mema.
Sasa, nije kwa hawa wafuasi wa Tundu Lissu, hususan hawa wa humu JF.
You people are mindless bots in human form.
You are in your own little echo chamber. You just blindly conform while waxing lyrical about how great your Dear Leader is.
Tundu Lissu ni kichwa. Lissu hamung’unyi maneno. Lissu hakopeshi. Usiombe kujikuta uko upande tofauti na Lissu, n.k.
Really? Seriously? That’s what we’re doing now?
You swallow all his BS and are too quick to ridicule those of us who dare question what comes out of his mouth!
Where is your free thinking?
Mmejitengenezea cult of personality. Lissu ndo kawa mungu wenu. Chochote atachofanya na kusema, mtashangilia tu.
Kesho akisema hagombei tena uenyekiti wa chama, mtampongeza na kumuunga mkono atakayemuunga mkono yeye, hata ikiwa ni Freeman Mbowe.
You are so far up your own fundaments.
Disgusting 🤮.
TakatakaWafuasi wa Tundu Lissu ni kama wafuasi wa Pastor Mackenzie yule wa Kenya. Wanaamini kila uongo Lissu anaoutoa.
Pastor Mackenzie alikuwa ni mgonjwa wa akili kama alivyo Lissu, Mackenzie alizika watu wakiwa hai akiwaambia wanaenda kwa Yesu ni kama anavyofanya sasa Lissu anawadanganya wafuasi wake anaiua Chadema ili kupata upinzani mpya. Mwisho wa yote atawaacha kwenye mataa wakiwa wamepoteza walichokijenga kwa miaka mingi.
Mbowe alichopanga ni kuhakikisha Lissu hawi Mwenyekiti na pia asiwe mgombea wa urais ili kumsaidia Samia October kwa ahadi ya kupewa majimbo 40 ya ubunge.Mbona alikua mnadhimu mkuu bungeni, alikua rais wa TLS je uliona visa vyovyote hada akaonekana hafai? Tupunguze ujuaji hata Trump ulisema hamna analojua ila akachaguliwa kwa kishindo. So tuache sisi tunaomtaka tukiona hafai si uchaguzi ujao tutamng'oa.
Huyo Mbowe wako jana nmeangalia interview yake hakuna hata kitu kimoja amepanga kufanya