Nyie wafuasi wa Tundu Lissu

Mimi sio mfatiliaji wa siasa ila hata vichwa vya nyuzi za humu ndo vinaonyesha kuna watu Lisu kawashika akili mpaka wanashindwa kufikiri sawasawa
Na pia kuna watu Mbowe kawashika makalio kabisa kama hii simbilisi hapa chini.
 

Attachments

  • GfMNLpyXYAA8ucg.jpeg
    58.9 KB · Views: 2
Kwa Lissu hamtopata kiongozi.

Mtapata mwanaharakati tu.

Drama hazitoisha.

But have at it coz I’m loving it 😀.
Naona hofu zako kwa Lissu hazijaisha maana kipindi cha mungu wako mwendazake aliwapeleka mputa sana.

Tulia tu. Msiempenda ndo huyo anakuja
 
Uliza wameelewa?
 
Mleta mada hana lolote la maana.

N chuki zake tu dhidi ya Tundu Lissu kutokana na kumpeleka mputa sana muhuni wake wa chato magufuli ndo mana hadi leo ana phobia ya Lissu
 
Wanachopendea kwa Lissu ni ule uropokaji wake tu.

Ili mradi katika kuropoka huko anakuwa anawasema CCM au Mbowe, hata kama uongo, wao watameza kila kitu na kummwagia sifa tele.
Wewe unajulikana ni CCM, tena ile CCM ya Magu, hivyo hata siku moja hautakaa umuelewe Lissu..

Kwa maana CCM kwa sasa mnaona bora muendelee na Mbowe kuliko Lissu..
 
Oya toa usengee hapa kila sku we mada zako ni lisu tu halafu ni pumba tu inashangaza kuona majitu ya ccm leo mnamtetea mbowe ***** kbs
 
Kunywa dawa kwa usahihi
 
I hope it won't be like what they say about the dog that caught the bus.

Amandla...
 
Mleta mada hana lolote la maana.

N chuki zake tu dhidi ya Tundu Lissu kutokana na kumpeleka mputa sana muhuni wake wa chato magufuli ndo mana hadi leo ana phobia ya Lissu
Povu la nini?
 
Naona baada ya kuleta story za kumtetea dhalimu na kupewa kubwa yako, sasa unajiliza kama binti wa kihaya. Ni hivi, dhalimu magu hasafishiki, hutaki jinyonge.
 
Naona hofu zako kwa Lissu hazijaisha maana kipindi cha mungu wako mwendazake aliwapeleka mputa sana.

Tulia tu. Msiempenda ndo huyo anakuja
Amejaa chuki huyu Msukuma lakini atambue Lissu alishaandikiwa atakuwa Mwenyekiti Chadema na Rais wa nchi, ATAKE ASITAKE
 
Kwa Lissu hamtopata kiongozi.

Mtapata mwanaharakati tu.

Drama hazitoisha.

But have at it coz I’m loving it [emoji3].
Wewe mwenyewe ni mwanaharakati,Kila mwanadamu ni mwanaharakati

Mkuu unafahamu maana ya activist

Activist kila binadamu anazaliwa nayo

Hakuna mwanadamu asiyetaka Social or Political change

Tawala duniani tangu enzi zimepigana vita kutaka Social and political change

Sasa Social change ni inborn character ya kila mwanadamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…