Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Hi!
Niliwahi kuleta Uzi nikasema wanawake maskini hasa wa mjini hawana mapenzi ya dhati kwa wanaume wapenzi wao.
Wengi ni kama wapo na wanaume ili watatue shida zao za kiuchumi. Watakuigizia kukuita baby mara dear ili ujisikie unapendwa lakini kwa kweli ukifulia au yeye akipata mwanaume mshamba anayetoa pesa zaidi umekwisha. Huyu demu ananipigia zaidi ya mara 30 ili tu nimtumie pesa apunguze shida zake.
Ni kweli shida anayo na nilimwona kweli mhitaji lakini mtu anashindwa kujiongeza kuwa si lazima umsaidie siku uliyopanga maana kila mtu ana shida zake na huwezi kutatua kwa wakati kila shida.
Hata mama yangu tu nikimwahidi jambo hawezi kunisumbua hivi. Kwa style hii sehemu zao za siri zitapata taabu sana.
Je, ningemwahidi milioni moja si angedadisi mpaka nyumbani kwangu aje aidai, maana hii ni ahadi hewa ya laki moja tu kafanya hivi.