Nyie wanawake mnaoringa sasa hivi niko pale nawasubiri mkigusa 30s

nimehisi ni kama watu walioshakata tamaa ya kupata ndoa kutokana na yanayoelezwa kuhusu single mothers kupasha kiporo. Yaani wanaume weingi hawapendi kuoa single mothers
Wengi hawapendi ila wanaolewa hivyo hivyo. Kuna muda ni kutake risk tu maana huyo unaeanza nae bila bila anaweza kuwa na maex zaidi ya 10 na wote anawapa huduma.
 
10k unashea na wengi sana

Kwa hizo price unaweza kukuta hata uko peke yako, mkiwa wengi maximum ni watano sababu sio kila mtu ataafford na ukiangalia pisi inakua haijulikana kama inauza, less competition!
Hawa viumbe usije ukamuamini kisa ww kakuuzia bei kubwa wapo wahuni wanamega hao hao malaya pro bure madem bhana wapo tofaut na ufikiriavyo najua utajitetea ili uonekane unakula pasafi ila ukijua akili za mwanamke basi hutapoteza mkwanja kisa utelezi
 
Boss wako kama namjua😅 mke wake ana matashtiti huko instagram kwanza mpe boss wako pole maana katengenezea shape vijana wamsaidie kazi. Anyway anaweza asiwe huyo pia😂 sema dah😂 mke wa mtu kwenda kuchonga shape dubai😂
 
Boss wako kama namjua😅 mke wake ana matashtiti huko instagram kwanza mpe boss wako pole maana katengenezea shape vijana wamsaidie kazi. Anyway anaweza asiwe huyo pia😂 sema dah😂 mke wa mtu kwenda kuchonga shape dubai😂
Humjui, na insta yake huyo mke haposti, ni kwa wenye whatsapp number yake tu ndo anajaza status balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…