MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 5,824
- 14,757
Asante mkuu, NshapoaPole sana mkuu.
Iyo hatari sana mkuu,Madogo wapenda kitonga, kamserereko.
Na vijana siku hizi wanapenda kitonga sanaIyo hatari sana mkuu,
Na iyo nyumba unayokuta anajenga au kiwanja akishaolewa inakuaje? Wanaenda kuishi kwa nyumba ya mwanamke au wanajenga kwa kiwanja cha mwanamke au wanauza kama mwanaume ashajipata? HeyWataolewa na wanaojitafuta ndiyo waoe
Si anatunza pesa yake isitumike hovyo mkuu?Mtu anakwambia anajitafuta cha ajabu kila siku anakupiga vizinga sa sijui atajipata lini ndo aolewe.!!
Sijakuelewa???? Come again boyNa ww kijana unaoa ili iweje ss labda mkuu..
Akiwa na nyumba ni yake, tuta earn mapato hapo sio yangu, Ila siwezi kukaa kwenye hiyo nyumba..Na iyo nyumba unayokuta anajenga au kiwanja akishaolewa inakuaje? Wanaenda kuishi kwa nyumba ya mwanamke au wanajenga kwa kiwanja cha mwanamke au wanauza kama mwanaume ashajipata? Hey
Hawana lolote hawaSi anatunza pesa yake isitumike hovyo mkuu?
Oa kwanza ndio utanielewa mkuuSijakuelewa???? Come again boy
Wanaamini ndoa ni kama ajira (yaani ni ngumu kuolewa)Naona saiv hili suala la wanawake kujitafuta kiuchumi kabla ya kuolewa lmekua common sasa.
Zamani tulizoea mwanaume ndo anajitafuta kwanza kisha aoe lkn saiv meza imepinduka, kila mwanamke unaekutana nae kwenye mahusiano anakwambia anajitafuta kwanza ndo aolewe, anataka anunue kiwanja ajenge mara aanzishe biashara n.k
Kuna mwingine unamwambia nataka tufunge ndoa mwaka huu au mwakani anakwambia yeye badobado kwanza bado kuna vitu hajaweka sawa hahaah.
Naombeni tu kujua nani atawaoa? au mnataka muanze kuoa?
Wajanja mkuu, huwa naunga mkono maboya wapigwe tuHawana lolote hawa
Sawa mdogo wetuOa kwanza ndio utanielewa mkuu