MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 5,824
- 14,757
- Thread starter
-
- #21
Yan mkeo amrithishe mtoto nyumba alojenga mwenyewe? Hahhaah sawaAkiwa na nyumba ni yake, tuta earn mapato hapo sio yangu, Ila siwezi kukaa kwenye hiyo nyumba..
Kwann auze hatopata mtoto ? Mtoto ana haki ya kumrithi kwenye mali tunakosa elimu na hekima tu,
Vipi wanaopewa gari, nyumba pesa na wazazi wao ??
Huyu anajifariji tu, mwanaume kuoa au mwanamke kuolewa ni suala la lazima. Muda ndo utaongea
Kwamba atamrithisha nani?? Hana mtoto au watoto hiyo nyumba apangishe tu earn mapatoYan mkeo amrithishe mtoto nyumba alojenga mwenyewe? Hahhaah sawa
Ukiona unamvutia mwanamke kwa pesa ndo aingie kingi umuoe endelea kukua kwanzaUkiona unamwambia demu umuoe anakataa nenda katafte pesa kwanza
Mkuu, yan unatoa mfano wa wazazi wetu unalinganisha na hiki kizazi cha 2000's. unazingua Big time mzee wanguKwamba atamrithisha nani?? Hana mtoto au watoto hiyo nyumba apangishe tu earn mapato
Ngoja nikupe scenario hii
Wazazi walioona kila mmoja katika kwao, mzee akiwa na harkati zake na Maza akiwa na business zake
Tukakua hivyo hivyo business za wazazi wangu ndizo zimetusomesha na kufanya bills nyingn home hasa mzee Kuna kipindi mambo hayakwenda sawa lkn business za upande wa pili zili cover kila kitu na hakuna mtu wa nje alikua zaidi ya familia tuu,,
Mama alipotoka Kuna mashamba wamepewa coz hawana kaka, kwahiyo kila mtoto akapewa kiwanja ama eneo lake,
Kwahiyo hilo eneo haturuhisiwi kulima?? Au kukata majani ya ng''ombe mzee ??
Pale Maza kaotesha nyasi na mazao na tunalishia nyasi ng''ombe na masalia ya mazao hayo
Kumbuka mzee naye ana hekari kumi naa hv na zote zinalimwa
Eniwei wazazi wangu wamenifundsha umimi ubinafsi mkishakuwa wanandoa hauna maana yoyote kila mmoja akisema hiki ni changu hamna kazi hapo
Ko siwezi kuwa na mwanamke mwenye nyumba sijui ana source of income afu ni mke wangu nisijue hizo hela zinatumika vipi
Unafik ni hapana
Ndio maana nmeuliza nani atawaoa? Hakuna mwanaume anajielewa ataoa mwanamke ambae tayari kashajipata kwa namna moja ama nyingineWengi wakishafanikiwa huwa wanatafuta mtu wa kuzaa naye tu basi, wengi hawapendi kuwa chini ya mwanaume kwenye ndoa, hapo ndo shida, economic independence yao inawapa kibri sana
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai, ukiona mwanaume wako yuko vizuri kiuchumi ila hakupi pesa jua shida ipo kwako sio kwa mwanaume. Sisi wanaume suala la kuhonga ni moja ya fantasy zetuWatu wenyewe wagumu kutoa Hela Wacha tujitafute
Hao ni Malaya wa kuwagonga tu kaka,.........wakikongoroka masimp ambao wanakubali huo uongo wao ndio watakuja kuwaoa,relax tu Mzee,piga mashine sepaNaona saiv hili suala la wanawake kujitafuta kiuchumi kabla ya kuolewa lmekua common sasa.
Zamani tulizoea mwanaume ndo anajitafuta kwanza kisha aoe lkn saiv meza imepinduka, kila mwanamke unaekutana nae kwenye mahusiano anakwambia anajitafuta kwanza ndo aolewe, anataka anunue kiwanja ajenge mara aanzishe biashara n.k
Kuna mwingine unamwambia nataka tufunge ndoa mwaka huu au mwakani anakwambia yeye badobado kwanza bado kuna vitu hajaweka sawa hahaah.
Naombeni tu kujua nani atawaoa? au mnataka muanze kuoa?
Mkuu, kama una style mpya mpya kunako 6×6 leta maana ndo kazi nayoifanya saiv kwa hawa watoto wenye double standardsHao ni Malaya wa kuwagonga tu kaka,.........wakikongoroka masimp ambao wanakubali huo uongo wao ndio watakuja kuwaoa,relax tu Mzee,piga mashine sepa
Ni kweli bruh, ila hata wazee niliongea nao wakaniambia hata kipinddi cha nyuma wapi wanawake wachache walikuwa vzr wapo waliolewa wakaish vzr, wengine wakazinguaMkuu, yan unatoa mfano wa wazazi wetu unalinganisha na hiki kizazi cha 2000's. unazingua Big time mzee wangu