Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Weee wazee wa digitali unawajua??🤔🤔🤔😂😂😂Vijana ndio hamna nguvuu bana akichoka ivoivo naenda nae aste asteee asije akapoteza uhai mzee wawatru😂😂😂!Wengi wazee huwa ni kifo cha mende tu, dakika 5 hoi ; unatakiwa upate mchaka mchaka ukifika miaka 60 uonekane kama una miaka 30