Nyie warembo, kwa nini huwa mnajiweka kwa bei ghali wakati uhalisia unajijua?

Nyie warembo, kwa nini huwa mnajiweka kwa bei ghali wakati uhalisia unajijua?

Wengi wazee huwa ni kifo cha mende tu, dakika 5 hoi ; unatakiwa upate mchaka mchaka ukifika miaka 60 uonekane kama una miaka 30
Weee wazee wa digitali unawajua??🤔🤔🤔😂😂😂Vijana ndio hamna nguvuu bana akichoka ivoivo naenda nae aste asteee asije akapoteza uhai mzee wawatru😂😂😂!
 
Weee wazee wa digitali unawajua??🤔🤔🤔😂😂😂Vijana ndio hamna nguvuu bana akichoka ivoivo naenda nae aste asteee asije akapoteza uhai mzee wawatru😂😂😂!
We utakuwa unamtapeli hela za kustaafu
 
Zote hizo anipatiaa yani hakuna ambacho sipati pale michezo yotreee unayoijuaaa🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️!!
😀😀😀tatizo unanipiga saundi tu hapa
 
mjomba National Anthem mwenzio kule niko pinned kwa mieziii kadhaa!! Tag naiona ila kureply siruhisiwi! Bila shaka Bantu Lady na auntie sophy27 walikubless mjomba wangu 😘!

Samaleko ✋
🥲🥲 ma mod wamekuwa kama monitor wa la nne D 🤣🤣🤣 hata sijui shangazi pole sanaa sasa hivi umekuwa kama mkwepu 🤣🤣
 
Back
Top Bottom