Nyie weekend mnaenjoy wapi?

Baada ya sokwe wa mto msimbazi kukimbia. Niko zangu room najinywea zangu Castle Lite zangu za kopo, huku nasikiliza music miguu juu. My babe asisome hapa maana na Kwaresma yote hii mmmh!!!.
Fundi simu kasoma, ngoja nimpigie nimwambie kuna AC inazingua kwa simu yake na nimwambie na mengineyo (Bantu Lady) ya miguu juu tuwe even kwenye siri za muhimu πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Fundi simu kasoma, ngoja nimpigie nimwambie kuna AC inazingua kwa simu yake na nimwambie na mengineyo (Bantu Lady) ya miguu juu tuwe even kwenye siri za muhimu πŸ˜‚πŸ˜‚
Niache leo ndiyo mara ya kwanza nakunywa hii bia. Sasa nisije ongea ya uvunguni bure. Naweza anza elezea hapa kitumbua kiko na mchoro upi bure 🀐
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…