Nyie weekend mnaenjoy wapi?

Nyie weekend mnaenjoy wapi?

Nimetoka kusoma mada yako uligonganisha ma-ex bar nashangaa tena nakukuta huku umeenda bar,basi nimewaza mbaali!
Screenshot_2025-02-12-13-15-50-082_com.facebook.katana-edit.jpg
 
Baada ya sokwe wa mto msimbazi kukimbia. Niko zangu room najinywea zangu Castle Lite zangu za kopo, huku nasikiliza music miguu juu. My babe asisome hapa maana na Kwaresma yote hii mmmh!!!.
Fundi simu kasoma, ngoja nimpigie nimwambie kuna AC inazingua kwa simu yake na nimwambie na mengineyo (Bantu Lady) ya miguu juu tuwe even kwenye siri za muhimu 😂😂
 
Fundi simu kasoma, ngoja nimpigie nimwambie kuna AC inazingua kwa simu yake na nimwambie na mengineyo (Bantu Lady) ya miguu juu tuwe even kwenye siri za muhimu 😂😂
Niache leo ndiyo mara ya kwanza nakunywa hii bia. Sasa nisije ongea ya uvunguni bure. Naweza anza elezea hapa kitumbua kiko na mchoro upi bure 🤐
 
Back
Top Bottom