Nyimbo zake hazichoshagi aisee. Mie naeza kaa asubuhi hadi jioni kama ni sita basi nitazirudia hizo hizo mpaka siku inaisha na ikifika kesho nazirudia na hazijawahi chuja pia kwangu.Acha wiki mimi nina mwaka wa sita sasa nasikiliza wimbo wa MAHER ZAIN- forgive me na hauchuji kwangu
SeñoritaSenorita -Shawn Mendez ft Camila Cabello
Chris Brown -BP/No Judgement
Baby-Joeboy
Nanana-Missy rizzy
Memories naungana na wewe pamoja na moodsNina play lists zangu ambazo huwa sizichoki....ni nyingi sanaaaa
The weekend-Blinding lights
Maroon 5-Memories,girls like you
Bruno mars na cardi B-Please me
Lil wayne na swizz beatz-uproar
Dj khaleed-hold you down,gold slugs
Beyonce na shakira-beautiful liar hii ni best kwa muda wote
Walter chilambo-only you hii kila nikikasirika inanishusha hasira sijawahi kuichoka [emoji23]