Nyimbo gani umeshawahi kuzisikiliza 'non-stop' zaidi ya siku mbili?

Nyimbo gani umeshawahi kuzisikiliza 'non-stop' zaidi ya siku mbili?

Acha wiki mimi nina mwaka wa sita sasa nasikiliza wimbo wa MAHER ZAIN- forgive me na hauchuji kwangu
Nyimbo zake hazichoshagi aisee. Mie naeza kaa asubuhi hadi jioni kama ni sita basi nitazirudia hizo hizo mpaka siku inaisha na ikifika kesho nazirudia na hazijawahi chuja pia kwangu.

- Rest of my life
-Asubuhu Badaa
- Insha Allah
-Bika Mulhini
-Radwiitu
- Huwa AlQuran
 
- Mpenzi gita (Nani)
-Mlimbwende ( One the Incredible)
  • In the morning ( J. Cole)
  • Tupendane ( The Kilimanjaro band)
  • Farewell (J. Cole)
  • Born siner (J. Cole)
  • Autography (J. Cole)
  • Born to suffer ( Lucky Dube)
  • Usizi (The slave band/lucky Dube)
-Feel Irie ( Lucky Dube)
 
Zangu hizi hapa
She got a gwan - Ngwair
Sitabaki nilivyo - Joel Lwaga
Love me baby - Murphy Lee
Feedback - Nick Mbishi
 
Nina play lists zangu ambazo huwa sizichoki....ni nyingi sanaaaa

The weekend-Blinding lights
Maroon 5-Memories,girls like you
Bruno mars na cardi B-Please me
Lil wayne na swizz beatz-uproar
Dj khaleed-hold you down,gold slugs
Beyonce na shakira-beautiful liar hii ni best kwa muda wote

Walter chilambo-only you hii kila nikikasirika inanishusha hasira sijawahi kuichoka [emoji23]
Memories naungana na wewe pamoja na moods
 
Avicii-- Nights
Akon--Girls like you
Eminem-Venom/Higher/Lose Yourself/When I'm Gone
T.I- Whatever you like/Respect the code
CJ-Woopty
Fally ipupa- One Love/Nidja/Jalou Jalou/Mawa
Bob Marley- No woman No cry/africa unite/who the cap fit
Ferre gola-kamasutra/vita imana/kipelekise/azalaki awa/primere classe
 
Nimeshinda nayo kutwa KATALETA
Joh makiniFt Davido o.b.o
 
Your love ya Nick Minaj
Pyagmalion ya kofii olomide
Go crazy .... chriss brown
Bird set free ya Sia
Lier ya Camila cabelo
Girls like you ya Maroon 5
Dangerous ya Michael Jackson
Woman ya rude boy
Maud Elka ft Hiro Songi songi
Congo Muchana ya kanda man bongo
Alikiba ft dj sbu nakupenda
Nyashinski lift me up
Nyashinski malaika
 
Back
Top Bottom