Light saber
JF-Expert Member
- Nov 3, 2017
- 4,368
- 7,935
Habari zenu wapendwa katika mimi!
Kuna wakati fulani unaweza ukaskiliza wimbo mmoja hata wiki nzima. Hii huwa inatokana na aina ya wimbo, pia huo wimbo umeutafuta kwa muda gani.
Myself nina nyimbo ambazo nishawahi kuzisikiliza non-stop.
Do Better - Chris's brown
Die For You - The weekend
When I Was Your Man - Bruno Mars
Why Not Me - Enrique Iglesias (hii huwa siichoki hata hii naiskiliza sana)
Ekuweme - Prosper Ochimana
Mockingbird - Eminem
Reminder - The weekend
Stupid Love - Jason Derulo
1942 Flow - Meek Mill
Kwangu mi hizo ndiyo nyimbo ambazo nimmehawahi kusikiliza bila kuzichoka.
Share na wewe ili tupate kuujua muziki mzuri.
joanah
iyo on the road naruka nayo sana sema we Tafuta hizi za Meek Mill1942 Flows
Meek namkubali sanaaaa
Kuna na hii hapa yupo na post malone On the road dah
Sichikagi hizo songs
Ongezea Post malone ft Quavo-Congratulations
Post malone ft Dolla 💰 sign -Psycho
post malone-Better now
Hiyo memories kweli tamu nshasikiliza siku mbili mfululizoMaroon 5-Memories,girls like you
Hyo Perfect used to be my fav enz hzo,ntaitafta niirudishe tena kundini nzuri sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Travis Scott - Yosemite
Travis Scott - Highest in the room
Dj Khaled - you stay
Dj Khaled - the storm
Lady Gaga - always remember this way
Alan Walker - on my way
Ed Sheeran - perfect
Sasa hv ni Justin Bieber ft Quavo - intentions nasikili muda mwingi sana.
Tafuta na za ed sheeran mkuu ipoHiyo memories kweli tamu nshasikiliza siku mbili mfululizo
Yule albino anajuaNi vyema siku nyingine mnapotaja huo wimbo wa Perfect msimame kuonesha heshima. Li-Ed Sheeran linaimba nyie.
Asee we jamaa nikajua hii post nimeandika mimi. Umepita mulemule.i
iyo on the road naruka nayo sana sema we Tafuta hizi za Meek Mill
Philadelphia born and raised (hii ata mwenyewe meek huwa anakili ndo ngoma yake kali)
Ready or not
My life yupo na Montana
Ricky hii ya moto naikubali sana
Hope hii ina kichaa
Lord know
Hell or heaven yupo na mtu mbad jadakiss
Anza na hizo kwanza
Burna namsikiliza sana mzee wa yeye yeye yeyeye yeye ohTafuta na za ed sheeran mkuu ipo
Cross me ft chance the rapper
Kuna moja yupo Eminem 50 cents na ed Bonge ya pini
Pia turudi nyumbani africa Mcheki na burna kwnye african giant Kuna nyimbo kali mkuu
ed anajua tuache utani hiyo perfect , ni konyo kuna Demu mpaka kesho ananikumbuka kisa hiyo nyimbo coz nlikuwa napenda mwimbia nadownload instrumental then anaplay namwimbia kama edNi vyema siku nyingine mnapotaja huo wimbo wa Perfect msimame kuonesha heshima. Li-Ed Sheeran linaimba nyie.
Asee we jamaa nikajua hii post nimeandika mimi. Umepita mulemule.
Ikiwezekana na salute kabisa[emoji3][emoji3]Ni vyema siku nyingine mnapotaja huo wimbo wa Perfect msimame kuonesha heshima. Li-Ed Sheeran linaimba nyie.