Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,391
- 21,045
Acha na huyo mtu mm na album zake kuna siku namsikiliza siku nzima na play album tu.Ni vyema siku nyingine mnapotaja huo wimbo wa Perfect msimame kuonesha heshima. Li-Ed Sheeran linaimba nyie.
Peoples change even satan Used to be an angel"I wonder was I wrong thinking this is where God led Me or did I get involved in something that was too heavy".... NF-My stress, sijawahi ichoka hiyo kutokana na hali fulani fulani.
Nyingine ni
Helplessly ya Tatiana manaios
Ukimuona-Diamond
Something you forgot,How to love-Lil Wayne
God's Plan,headlines-Drake
Dear MAMA-Shakur
Ghetto by Akon.
Nitajie angalau tatu ukiachana na only you ya chilamboNyimbo za bongo ukisikiliza wiki inakinaisha kama kipindi cha hesabu
acha kabisa naisikiliza sana.yeah intention tamu
Habari zenu wapendwa katika mimi!
Kuna wakati fulani unaweza ukaskiliza wimbo mmoja hata wiki nzima. Hii huwa inatokana na aina ya wimbo, pia huo wimbo umeutafuta kwa muda gani.
Myself nina nyimbo ambazo nishawahi kuzisikiliza non-stop.
Do Better - Chris's brown
Die For You - The weekend
When I Was Your Man - Bruno Mars
Why Not Me - Enrique Iglesias (hii huwa siichoki hata hii naiskiliza sana)
Ekuweme - Prosper Ochimana
Mockingbird - Eminem
Reminder - The weekend
Stupid Love - Jason Derulo
1942 Flow - Meek Mill
Kwangu mi hizo ndiyo nyimbo ambazo nimmehawahi kusikiliza bila kuzichoka.
Share na wewe ili tupate kuujua muziki mzuri.
joanah
Unaipata na ile inaitwa "How Would You Feel"?Ikiwezekana na salute kabisa[emoji3][emoji3]
Anaimba vzuri af bila kutumia nguvu
Sent using Jamii Forums mobile app